NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
Ze mosti expensivu school in Tanzania. 🤣Hio picha ya kati kati..
Ze mosti expensivu school in Tanzania. 🤣Hio picha ya kati kati..
Expensivu 😀 😀 😀 Kingereza cha wakenya kinachekesha sana.Ze mosti expensivu school in Tanzania. 🤣
Nairobiwalker, ndio shule ya village yakoHiii Iko between sabatia and vokoli if I remember welll,
Nairobiwalker kijana ya Wodanga😄
Hizo ma area tu.Hiii Iko between sabatia and vokoli if I remember welll,
Nairobiwalker kijana ya Wodanga😄
Hii hapa ilijengwa kwa shamba la my great grandfather - aliiacha akahamia kwengine. Yani hii ingekuwa Bongo wangekuwa washamwaga mipicha alafu waseme wameshinda kisa wamepost picha nyingi. 🤣 🤣Nairobiwalker, ndio shule ya village yako View attachment 2552138
Pumzi imewaishia Sasa kelele ndio mmebaki nazo😀😀After 24 hours unatuletea shule moja. Shule za kutafuta kama bikra kwa malaya. 😀 😀
Umecha kuweka shule za secondary umeanza kuweka shule za Primary? Unataka tuende huko?Pumzi imewaishia Sasa kelele ndio mmebaki nazo😀😀
Nairobi School
View attachment 2552173
View attachment 2552169
View attachment 2552175
View attachment 2552184
View attachment 2552192
View attachment 2552194
Nairobi School tangu lini imekuwa Primary School? Ama ni vile mmezoea wanafunzi wazee mnadhani kila nchi Iko na wazee kwa shule?😀😀😀Umecha kuweka shule za secondary umeanza kuweka shule za Primary? Unataka tuende huko?
Naona sasa hivi unahaha kutafuta picha. Nimekuachieni uweke picha kumi za shule zilizojengwa na Serikali yako baada ya uhuru wa Kenya. Bado mnajifungia tu.Nairobi School tangu lini imekuwa Primary School? Ama ni vile mmezoea wanafunzi wazee mnadhani kila nchi Iko na wazee kwa shule?😀😀😀
Wadhamini kidogo ... wale wazee wa kutaabika na unga (kunyans), u ar welcome 👇.
Hii ni zama kabla Gmo haijafika kenya 🇰🇪
but now jangwa najuaHii ni zama kabla Gmo haijafika kenya 🇰🇪
Wakunya hawana shule yoyote yenye afadhali tofauti na za wakoloni
shule za tanzania ni motoKaizirege Secondary School kagera tanzania
View attachment 2552244
View attachment 2552245
View attachment 2552247
View attachment 2552250View attachment 2552248
Nmefanya research huko sana, sabatia,Busali,chamakanga,mululu,bugina,kivudianyi etcHizo ma area tu.