Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za askari Magereza Ukonga
uk1.jpg
uk2 (1).jpg
uk2.jpg
 
Kumbe hiyo ndio shule inayowavimbisha vichwa Wakenya [emoji23][emoji23]
Reuben Challe
International schools ziko Kenya mara tatu kuliko Tanzania
Hii ni moja tu ya nyingi. Usiwe na pupa. Nakuletea moja moja.
International School of Kenya hii - ebu linganisha na na hiyo IST
Screenshot 2023-02-06 200412.jpg

IMG-20201218-WA0044.jpg

ISK1_ISK.jpg
Directory-Africa-IS-Kenya.jpg

Nyumba za walimu wa ISK hizi. Mwalimu ana nyumba kama ya CEO
20150401_143534.jpg
 
Hilo sipingi, hadi huku zipo ila unapopost the best schools hapo Bongo na zimejaa vumbi sasa zile za kawaida tutazisemaje?[emoji1787]
Hata hazikuwa best schools in Tanzania. Mwanzo kabisa zile shule zilizopostiwa zilikuwa ni sample schools in Tanzania, wewe ndio umesema best schools in Tanzania.
 
Wacha nishughulike kiasi. Nitarudi baadae kuwapiga makombora ya shule. Reuben Challe wewe unakaa tofauti kidogo ya wenzako at least unajadili logically. Nitakuja tumalize hili la mashule nawe. Hawa wengine wako ovyo sana wanabishana kama watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom