The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hapo ndio uelewe kuwa Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kwa Kiswahili.You have now abandoned your Kiswahili umerudi kwa kingereza?😂😂😂
Kiswahili is not a serious language to me. Mara kihindi, mara kiarabu. And sometimes even Portuguese words pia ziko ndani😂😂Sasa kuzaliwa kwake ni africa tanzania na ni lugha inayotumika tanzania kwa asilimia 100 hakuna nchi inatumia kiswahili kwa asilimia 100 zaidi ya tanzania ukiipata hio nchi nitag😆😆
Naombeni turudi kwenye mada ya njaa na misaada kenya na siasa zao zinavowavuruga pamoja na uchumi wao wanajaribu kubadilisha mada ili kututoa mchezoni turudi kwenye mambo ya uchumi naombeni tupige kwenye kidonda 🤣🤣🤣Hapo ndio uelewe kuwa Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kwa Kiswahili.
Kingereza can help me more than Kiswahili. Actually Kiswahili can't help me anywhere.Hapo ndio uelewe kuwa Kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kwa Kiswahili.
Sio Aestethic ni Aesthetic.
Naombeni turudi kwenye mada ya njaa na misaada kenya na siasa zao zinavowavuruga pamoja na uchumi wao wanajaribu kubadilisha mada ili kututoa mchezoni turudi kwenye mambo ya uchumi naombeni tupige kwenye kidonda 🤣🤣🤣
Kichapo ulichokula leo hutakaa urudieShule zao zinakaa ovyo sana, poor planning and architecture







KabisaHuyu balozi Kairuki anapiga kazi kweli, naoana hata Polepole naye anajitahidi...
That is your problem; not mine....Actually Kiswahili can't help me anywhere.
Actually it's yours cause you are the one trying to force that Arabic language on people 😂😂😂That is your problem; not mine.
Hawana lolote hawa nyang'au. Njaa tu inawasumbua.Naombeni turudi kwenye mada ya njaa na misaada kenya na siasa zao zinavowavuruga pamoja na uchumi wao wanajaribu kubadilisha mada ili kututoa mchezoni turudi kwenye mambo ya uchumi naombeni tupige kwenye kidonda 🤣🤣🤣
Why are you forcing it?Actually it's yours...
Tena hutaki Kiswahili? 😂😂😂Why are you forcing it?
Did I say so?Tena hutaki Kiswahili? 😂😂😂
Kwahiyo Tz inaizidi Kenya kwenye idadi ya maskini?Kuna wakati ulielezwa na mkenya mmoja hapa ndani late last week kama sijakosea kwamba this is relative poverty, not absolute poverty. Relative poverty varies from one country to another depending on the economic conditions of that specific country, and occurs when your income falls below your country's national median income. Kwa mfano, Tanzania can set her relative poverty at $2 while Kenya sets hers at $1.8. That's why kwenye hiyo map, Tanzania is ahead of countries such as South Africa and even Egypt and at par with certain European countries. Swali ni je, kuna masikini wengi Misri kushinda Tanzania? The answer is obvious. A person who lives below the relative poverty line in the US, for example, can be considered rich akija Kenya ama Tanzania.
In most cases, absolute poverty is what is used in measuring poverty rates in different countries
The most accurate parameter in determining poverty is absolute poverty. Currently, the universal standard for measuring global poverty is the international poverty line, which is set at $1.9 and cuts across all countries.
I hope this has answered your question
Wewe lala, umeshindwa kutetea hiyo lugha ya warabu sasa unajifanya kichaa hapa😂😂😂. Next time don't tell me any thing about that confused language.Did I say so?
As I said; you are just stupid.Wewe lala, umeshindwa kutetea hiyo lugha ya warabu sasa unajifanya kichaa hapa😂😂😂. Next time don't tell me any thing about that confused language.