Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu ndio nini?
Rudi kwenye mada kwanza hakuna kukimbia hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-03-14-00-02-21.png
Screenshots_2023-03-14-00-02-34.png
Screenshots_2023-03-14-00-02-49.png
 
Nimekuambia ingekuwa Kuna ranking ya ujinga wewe ungekewa mshindi. There are so many types of shades, this is one of them na hile ingine pia ni shade. Hata miti pia inatengeneza shade😂😂😂
So show us hzo types za shade tuzione hapa🤣🤣🤣🤣 na ukipata ni shade nitag wakwanza mm
 
Kama wao haijawasaidia sasa anataka mimi niongee kiswahili mufti ili iweje? 😂😂
Kwanza kiswahili is not even an African language😂. Kiswahili is a mixture of Arabic, Portuguese and Bantu.
 
Unaongelea akili ya kitumwa wakati unatumia kiswahili kuwasiliana? Kiswahili is a corrupted Arabic language.
Asilimia 65 ya Kiswahili ni kibantu
Nyinyi ndio watumwa ambao mnakitukuza Kiingereza
 
Kusoma pia hujui?😂😂😂 Wewe Sasa utasaidiwa aje?😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dodoma station ndio station ya kwanza ya kisasa treni kuingia ndani ya jengo in east and central africa
Screenshots_2023-03-14-00-06-51.png
 
Mziki zenu ni za kusimp with one genre. Here were talking about hip hop, dance hall and other international genre.

When it comes to dancehall music, there's no African that can come close to Redsan.

Wakati huo huo husikilizi mziki mwingine zaidi ya Bongo fleva, kwanza mziki wenu unaitwaje mana me siujui
 
Did Africans know about Jesus before colonization? Did they know about Mohammed before arrival of Arabs? You Tanzanians are very confused
We left our religions then we followed the Whites' and so did you.
But we never left our language
 
Back
Top Bottom