Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyesheni Shule iko na greenery kama hii hapo Tz, sio vumbi tupu. Only Uganda can compete with Kenya in terms of schools on this side of the continent.

SACHO-5.gif
 
Wakat tunatarajia VP wa USA kuja bongo.
Mama ana ubavu wa kukataa hizi mambo?
Hivi mashoga Wana athari gani katika maendeleo ya nchi?, Kweli serikali ipoteze nguvu kushughulika na ushoga kweli?.

Mimi ninashauri tusiishie kwenye ushoga tu, Kuna Malaya wanaojiuza barabarani, Kuna waasherati wanaofanya uzinzi nje ya ndoa zao, Kuna viongozi wa dini wanaokula wanakondoo, Kuna maboss wanaotembea na makarani wao.

Tukianza kusema huo sio utamaduni wetu, Je kutembea na wake/waume za watu ni utamaduni wetu?. Je Rushwa ya ngono ni utamaduni wetu?, Wanafunzi kupewa mimba ni utamaduni wetu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hatutakiwi kuongelea haya mambo. Mimi naona ni ujinga serikali kuanza kuongelea issues hizi kila wakati.
 
Kwamba hapa kuna kila kitu na nyumba za kishua?

Kama barabara yenyewe haipo sasa ni kipi inasema kipo? Wacha kunatumia nguvu nyingi kutetea ujinga za uswazi
View attachment 2547947View attachment 2547948View attachment 2547983View attachment 2547984View attachment 2547985View attachment 2547986View attachment 2547988View attachment 2547990
Githurai, an area where 90%
of the houses are apartment blocks, is considered a slum in Nairobi ila sioni nyumba ya mabati hapa and it's well organized than your uswazi hovels above View attachment 2547974View attachment 2547975View attachment 2547976View attachment 2547977View attachment 2547979
Sasa unaleta real photos vs Google satellite maps
We jamaa una shida gani
 
Back
Top Bottom