Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni jambo la kusikitisha sana kwakweli kwanini umuombee binadamu mwenzio kifo.
Hata hii hali inayoendelea kwenye nchi yao saivi ingekua ni Tanzania ungeona kila media ya Kenya ina report tena kishabiki, influencers wao 24/7 wangekua wanainanga Tanzania lakini huoni media za Tanzania zikiongelea mambo ya Kenya zaidi ya huku JF, huoni influencers wa Tanzania wakiongelea chochote kutoka Kenya
 
Kwakweli Wakenya wana la kujifunza hapa.
 
Ndege yetu mpya, ya mizigo, hapa napongeza sana viongozi walioliona hili kwamba tunapaswa kuwa na ndege ya mizigo.
tapatalk_708824633_600x393.jpg
 
Back
Top Bottom