ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ww ni chizi wa aina yake kila siku mm hua nakwambia ww chizi wa aina yake 🤣🤣🤣Najua kiingereza hukielewi but I understand you are a bongolala. I said bottom right corner and here it is
View attachment 2541982
Bado huoni jengo limeandikwa butterfly hotel hapo? Na je, lipo Kariakoo au la? 😂😂😂
Hii Dar yenu linganisheni na Kampala coz haina cha kulinganisha na Nairobi nje ya hiyo cbd yenu
So hii ni karikoo au sio 🤣🤣🤣🤣


