Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

as Africans we have this mentality of poverty so deeply rooted in our DNA ndio maana unaona mtu anashangilia kisa wanajenga reli ama barabara...kule first world ukifungua uzi kusherehekea mambo haya watakuona limbukeni...watakuona mshamba ama mjinga...barabara na reli kule zimekuwa kwa zaidi ya miaka 100...to them, building electric railways or flyovers is a way of life..not a privilege...its just like breathing or sleeping...nashukuru hawaelewi Kiswahili sababu wangekuwa wanaielewa lugha hii, ingekuwa ni aibu kubwa sana mmoja wao akiamua kupitia hizi nyuzi zetu...this also applies to me...hata mimi pia nimekuwa nikileta picha za reli hapa ila kila nikitazama mataifa ya nje, najiskia aibu kidogo...kwa hiyo, tuendele tu ila iwe ni siri yetu...
 
kenya oyeeeee
q
wazee wa drama....

e1a736e3504409d19bfc0e7104e38bc9.jpg
 
Ebu na Mimi nicoment kidogo, ukweli ni kwamba wakenya wapo juu in term of infrastructure za majiji makubwa kama Nairobi, Mombasa na kisumu huko kote nimefika ukilinganisha na dar, arusha na mwanza, hawa jamaa ni mabepari by nature ndio maana ni kitu cha kawaida kukuta magorofa kijijini kitu tz hamna huo ndio ukweli, miundombinu kama Barbara za nai zipo poah sana, majengo yapo yaa maana na mitaa iliyopagwa vizuri, jamaa wapo mbele zaidi yetu, hapa natumia fact siyo ushabiki povu ruksa Ila kama umetembea tuu.
 
ndiyo wapo vizuriiii sana .....ni mabepari

maana wengine humu huwa tukiendaga nairobi,kisumuna mombasa huwa tunakimbia

safi sana wakutembea nairobi,mombasa na kisumu
 
Ebu na Mimi nicoment kidogo, ukweli ni kwamba wakenya wapo juu in term of infrastructure za majiji makubwa kama Nairobi, Mombasa na kisumu huko kote nimefika ukilinganisha na dar, arusha na mwanza, hawa jamaa ni mabepari by nature ndio maana ni kitu cha kawaida kukuta magorofa kijijini kitu tz hamna huo ndio ukweli, miundombinu kama Barbara za nai zipo poah sana, majengo yapo yaa maana na mitaa iliyopagwa vizuri, jamaa wapo mbele zaidi yetu, hapa natumia fact siyo ushabiki povu ruksa Ila kama umetembea tuu.
CC: ichoboy01 Lusematic kadoda11
 
as Africans we have this mentality of poverty so deeply rooted in our DNA ndio maana unaona mtu anashangilia kisa wanajenga reli ama barabara...kule first world ukifungua uzi kusherehekea mambo haya watakuona limbukeni...watakuona mshamba ama mjinga...barabara na reli kule zimekuwa kwa zaidi ya miaka 100...to them, building electric railways or flyovers is a way of life..not a privilege...its just like breathing or sleeping...nashukuru hawaelewi Kiswahili sababu wangekuwa wanaielewa lugha hii, ingekuwa ni aibu kubwa sana mmoja wao akiamua kupitia hizi nyuzi zetu...this also applies to me...hata mimi pia nimekuwa nikileta picha za reli hapa ila kila nikitazama mataifa ya nje, najiskia aibu kidogo...kwa hiyo, tuendele tu ila iwe ni siri yetu...
Nikweli umaskini umetuzoea yani unatuyumbisha kwelikweli...lakini Ni kawaida kua ha hamu na kitu kipya,leo hii nikibahatika kununua gari zuri Mf jeep grande cherokee 2017 ntafurahia sana nakuipamba sana kwa kua ndio nmeweza leo...lakini wapo wenye yard na magari ya kila aina wakiniona nchekelea jeep watainamisha kichwa chini,

Likini kwa Yule ambae bado anaball na carina anaweza nielewa kwann nashangilia,hali ya nchi zetu sio nzuri sana kimaendeleo infact ndio tumeanza kufanya maendeleo kwa bidii baada ya kulala kwa muda mrefu. ...

Sioni kosa katika kufurahia maendeleo hizi kelele zivumilie tu,siku tukiweza kufikia ndoto yakua nchi ya viwanda na kweli tukanza kua busy tutaaacha kupiga kelele
 
asante sana...umejibu vizuri sana..tuendelee kushangilia tu ila iwe siri yetu waafrika..sababu wa nje watatuona wajinga sana...walipofanya sherehe ile siku Kenyatta aliabiri reli kwa mara ya kwanza, CNN, CGTN na BBC walileta habari hio..walifanya shangwe na vigelegele eti kisa reli...duh!! .kiukweli, nilihisi aibu kubwa sana...nimefika amsterdam na naweza nika kwambia kuwa tupo nyuma sana kimaendeleo..
 
miafrika🙁🙁🙁🙁 imagine mwafrika kusini ama mjapan ama mwingreza akishangilia reli...watamwona mjinga...
Tuliza munkari rafiki, Utapta heart attack. Tanzania inakimbia kwa speed ya mwanga.
Ushindani lazima uwepo. Tutawasema mpaka mtie akili. Mlikuwa mnatutukana sana.
 
miafrika🙁🙁🙁🙁 imagine mwafrika kusini ama mjapan ama mwingreza akishangilia reli...watamwona mjinga...
Tuliza munkari rafiki, Utapta heart attack. Tanzania inakimbia kwa speed ya mwanga.
Ushindani lazima uwepo. Tutawasema mpaka mtie akili. Mlikuwa mnatutukana sana.
 
as Africans we have this mentality of poverty so deeply rooted in our DNA ndio maana unaona mtu anashangilia kisa wanajenga reli ama barabara...kule first world ukifungua uzi kusherehekea mambo haya watakuona limbukeni...watakuona mshamba ama mjinga...barabara na reli kule zimekuwa kwa zaidi ya miaka 100...to them, building electric railways or flyovers is a way of life..not a privilege...its just like breathing or sleeping...nashukuru hawaelewi Kiswahili sababu wangekuwa wanaielewa lugha hii, ingekuwa ni aibu kubwa sana mmoja wao akiamua kupitia hizi nyuzi zetu...this also applies to me...hata mimi pia nimekuwa nikileta picha za reli hapa ila kila nikitazama mataifa ya nje, najiskia aibu kidogo...kwa hiyo, tuendele tu ila iwe ni siri yetu...
Hili povu siyo la ulimwengu huu wa sasa wala ulimwengu ujao. Tuliza akili kidogo. Kenya na Tanzania ni washindani wa kimaendeleo. Lazima tuwaseme mpaka mkome. Tusipowasema nyie tutawasema akina nani sasa? Wakenya ni watani zetu mwanzo mwisho. Kwikwikwikwikwi, itabidi uvumilie tu rafiki yangu.
 
Back
Top Bottom