Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani ww ni mkenya husie tembea nchini kwenu,tz unaweza panda banz sport car kuanzia mtwara mbk mwanza kwa kutumia barabara ya lami bila ya kuona shimo,je kenya unaweza ukatoka nairobi mbk busia au maraba kwa tax saloon,si litatoka matairi yote,je hile road ya mombasa ndio ya kujivunia,kwanza tukija kwenye watu hakuna watu webye roho mbaya km nyie wakenya,na ndio mana hata mademu zenu wabaya kwa sura.
Which road is that from Mombasa to busia that has potholes. ...smh. ama there is another Kenya that we don't know of
 
Off topic kidogo, Toronto superhighway hii ni Canada
73f41bd1a333fc36bb39fc7d4359f5d8.jpg
 
Tatizo povu. haya angalia na hesabu , unasema tractor kwani hilo shamba 😀😀😀😀 au ulidhani tunalima ufuta.

Sasa hesabu hizo tractor zako kwenye hizi videos

Hawa jamaa wa Kenya wanadhani tunatania. Asante sana kwa kuwaonesha mambo yanavyoendelea.
 
sawa mnajenga reli ya umeme...ndio mnaimba imba kana kwamba ndio reli ya kwanza duniani...tulieni ndugu zangu mwache ushamba...reli ni jambo la kawaida tu...leo hii, hamna mkenya ambaye huongelea reli...watu walishasahau na wanaendelea na maisha yao..nina uhakika mambo ni hayo hayo kule ethiopia..
 
Naona hako ni kapovu kiwango cha lami.

Mambo haya ndugu
attachment

tanzania_set_to_acquire_electrical_train_h543_f6cba.jpg

Achana na haya
SGR-train-Kenya.jpg
 
sawa mnajenga reli ya umeme...ndio mnaimba imba kana kwamba ndio reli ya kwanza duniani...tulieni ndugu zangu mwache ushamba...reli ni jambo la kawaida tu...leo hii, hamna mkenya ambaye huongelea reli...watu walishasahau na wanaendelea na maisha yao..nina uhakika mambo ni hayo hayo kule ethiopia..
mbona nyie mlikuwa mnapiga domo kama chiriku ...kuweni wapole .hapa ...kwa sasa mtuache na ikiisha tuna mpango wa kuanzisha jiji jipya ambalo litakuwa juu ya anga
 
mbona nyie mlikuwa mnapiga domo kama chiriku ...kuweni wapole .hapa ...kwa sasa mtuache na ikiisha tuna mpango wa kuanzisha jiji jipya ambalo litakuwa juu ya anga
tulishangilia ndio ila baada ya miezi minne sasa maisha kama kawa...kushangilia vitu ambavyo vimekuwa miaka na mikaka....USA China, Europe Brazil walikuwa na hizi treni 1980s..imagine wazungu, waturuki ama wachina wakianza kusherehekea eti kisa wanajenga reli...si tutawaona wajinga ama washamba! thats the same thing here
 
naona fuso imechorwa na kabendera kakenya kidogo hapo kwa mbele ......wakenya mnambwembwe....

c6fbbf5d53e556d251c9540a484b57e8.jpg
 
Back
Top Bottom