sawa mkuu😀😀No slums in Dar.
Hapo unaoneshwa maeneo ambayo ni uswahilini. Sasa jaribu kuleta uswahili toka Nairobi. Tuweze kuona.
Zoom iyo picha utaelewa alitaka uone nnaibu unapost mpaka slums...😀😀😀😱😱😱vituko
Siku hii nilifurahi sana kiukweli ilikuwa poa sanaDAR ROTARY MARATHON 2017 PHOTOS BY VAROON ON FACEBOOK
![]()
![]()
![]()
![]()
Slum dwellersUSWAHILINI
![]()
aibu unapost mpaka slums...😀😀😀😱😱😱vituko
kisu cha ngariba kimekuingia mahala.as Africans we have this mentality of poverty so deeply rooted in our DNA ndio maana unaona mtu anashangilia kisa wanajenga reli ama barabara...kule first world ukifungua uzi kusherehekea mambo haya watakuona limbukeni...watakuona mshamba ama mjinga...barabara na reli kule zimekuwa kwa zaidi ya miaka 100...to them, building electric railways or flyovers is a way of life..not a privilege...its just like breathing or sleeping...nashukuru hawaelewi Kiswahili sababu wangekuwa wanaielewa lugha hii, ingekuwa ni aibu kubwa sana mmoja wao akiamua kupitia hizi nyuzi zetu...this also applies to me...hata mimi pia nimekuwa nikileta picha za reli hapa ila kila nikitazama mataifa ya nje, najiskia aibu kidogo...kwa hiyo, tuendele tu ila iwe ni siri yetu...

kisu cha ngariba kimekuingia mahala.
umetoa povu zito sana.hongera.![]()
licha ya kwamba umejiaminisha kuwa wametuzidi,umewahi kujiuliza kwanini huwa wanapatwa na wivu sana tanzania inapoanzisha au inapokamilisha mradi wowote mkubwa?.Ebu na Mimi nicoment kidogo, ukweli ni kwamba wakenya wapo juu in term of infrastructure za majiji makubwa kama Nairobi, Mombasa na kisumu huko kote nimefika ukilinganisha na dar, arusha na mwanza, hawa jamaa ni mabepari by nature ndio maana ni kitu cha kawaida kukuta magorofa kijijini kitu tz hamna huo ndio ukweli, miundombinu kama Barbara za nai zipo poah sana, majengo yapo yaa maana na mitaa iliyopagwa vizuri, jamaa wapo mbele zaidi yetu, hapa natumia fact siyo ushabiki povu ruksa Ila kama umetembea tuu.
licha ya kwamba umejiaminisha kuwa wametuzidi,umewahi kujiuliza kwanini huwa wanapatwa na wivu sana tanzania inapoanzisha au inapokamilisha mradi wowote mkubwa?.
mfano sgr yetu ambayo ujenzi wake umeshaanza(hata hapa huwa wanatoa povu),mradi wa bomba la mafuta toka hoima uganda to tanga tanzania,siku lilipozinduliwa daraja la kigamboni,mradi wa mabasi yaendayo kasi(BRT) nk.
kama utabisha kuwa wakenya hawajawahi kuonyesha chembechembe ya wivu kwa tanzania kufanikisha miradi niliyokuorodheshea,nitaleta ushahidi.
wakati ukiendelea kutoa povu la kujifariji,acha nikudunge sindano nyingine.Kenya does not feel jealous of TZ..Kenya feels jealous of SA and Morocco
nimesubiri sindano ya hivi majuzi kumbe ni hekaya za abunwasi za kitambo kuhusu pipelinewakati ukiendelea kutoa povu la kujifariji,acha nikudunge sindano nyingine.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()