Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza


JamiiForums-150875583.jpg
JamiiForums-943143841.jpg
MVIMG_20221211_184154.jpg
 
Ni sawa unajua kwann imejengwa 2008 and now ni 2023 unataka kunambia thamani ya kujenga meli 2008 ni sawa na kujenga leo alaf ilikua ni bid na nyinyi mukashinda kwa bei ya chini kuliko wengine sasa ulitaka tuwanyimie 🤣🤣🤣 sisi hatuna roho mbaya kama zenu wala hatuna wivu na kenya
Tanzania ni mabibi zetu, lazima waturudishie pesa ya kununa mahindi yao
Hakuna pesa mutarudisha hapo kwanza hio repair yake tu mutajuta nakwambia 🤣🤣🤣 nyinyi sindio mumetoa bei ya chini kabisa sasa tunasubiri baada ya 6months
 
Back
Top Bottom