Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ingekua bongo, angeambiwa afungue offisi kwa ground kwanza. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

When ethereum started i almost sank in 1m kes, manze nilizubaa, i somehow just liked the currency alafu i felt late to join the bitcoin bandwagon, 1 couple jus made 60m on bitcoin bana when it hit usd.30k
 
Serikali imetangaza zabuni za ujenzi wa miradi ya TACTIC awamu ya kwanza kwenye Miji 12.

Dodoma,
Mwanza,
Ilemela,
Mbeya,
Morogoro,
Tabora,
Songea,
Kahama,
Geita,
Sumbawanga
Kigoma
Arusha,
Screenshot_20230302-175122.jpg
Screenshot_20230302-175051.jpg
Screenshot_20230301-211021.jpg
Screenshot_20230301-210948.jpg
Screenshot_20230301-210925.jpg
Screenshot_20230301-210835.jpg
Screenshot_20230301-210903.jpg
Screenshot_20230301-210810.jpg
Screenshot_20230301-210743.jpg
Screenshot_20230301-210713.jpg
Screenshot_20230301-210644.jpg
Screenshot_20230301-210609.jpg
 
Range Rover ulipost zote hadi umebaki kutuonyesha Ford Everest sasa.🤣🤣🤣


🤣🤣🤣🤣 so lx600 ziko tatu ila zipo kila kona ya kenya umegusa tena kwenye range unataka kulia naona
 
ichoboy01 Mwarabu bandia umesema gari zikionekana juu ya trailer hizo sio za Kenya. 😂 😂 😂 🤣 🤣 Leo nimekubali unakuanga pumbavu wa mwisho.

Image
 
Chief hakuna sababu ya kumtukana Rais, hizi tabia waachie Wakenya ndio wamezoea huu ushenzi, hata sisi wengine hatukumkubali sana kipenzi chako JPM kwenye some issues lakini huwezi kuona tunamtusi na kumkosea adabu, tukimkosoa tunamkosoa kama binadamu na mapungufu yake. Tafadhali sana Komredi tulinde image yetu.

Nafikiri kuna mgongano wa uelewa wa mambo. Ningefurahi kujifunza kutoka kwa wengine kama ninavyoendelea kujifunza hapa na kwingineko.

Ningeomba tafadhali unioneshe wapi nimetukana kwenye post ulioquote ili nitubu na niapologize kwako na wengine.

Thanking you in anticipation of your prompt reply.
 
ichoboy01 Mwarabu bandia kuja uone zingine za kuenda Congo, Ethiopia na Uganda. 🤣 🤣 🤣 🤣 Leo nimeamini wewe hua pumbavu walai.

Image
Mpumbavu ni ww unless uthibitishe zimesajiliwa kenya nje ya hapo hakuna hata mdudu anaeza waamini nyinyi kwa uwongo 🤣🤣🤣🤣🤣 nimekupa kazi rahisi ile escalade uliotuonesha itafute ikiwa na plate number ya kenya basi nifunge acc sasa hvi

Na siku nilikushangaa nilipoona lambo ya uganda unalazmisha iwe yenu kaaaah 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom