Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fikeni hii level ya kuzileta in bulk. 😂😂😂😂 Sasa Ford Everest pia ni gari ya kutuonyesha surely.

Na kama zinaenda uganda au ethiopia au congo nani ataamini ??? 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unafkiri nani anaeza muamini mkenya hata sekunde moja
 
Na kama zinaenda uganda au ethiopia au congo nani ataamini ??? 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unafkiri nani anaeza muamini mkenya hata sekunde moja
🤣🤣🤣🤣 Woiiii leo huna pakutorokea,, nakupiga kama mbwa. Zingine zinaingia na meli zingine zinaletwa na ndege.

Fikeni hii level ya kuzileta in bulk. 😂😂😂😂 Sasa Ford Everest pia ni gari ya kutuonyesha surely.

Kuzileta in bulk who will believe kama ni zakenya na sio zinaenda nchi za nje nani anaeza amini ???🤣🤣🤣🤣🤣 ikiwa lambo ya uganda mulilazmisha iwe yenu
 
🤣🤣🤣🤣 Woiiii leo huna pakutorokea,, nakupiga kama mbwa. Zingine zinaingia na meli zingine zinaletwa na ndege.

Mm utaniweza wewe hii ilikua when ?? 2022 so picha ya gari moja munazungusha ionekane gari nne au ???🤣🤣🤣🤣 shukuru mm ndio mtu ninaewajua vzr humu ndani amini hvo
Screenshots_2023-03-02-13-45-52.png
 
Na kama zinaenda uganda au ethiopia au congo nani ataamini ??? 🤣🤣🤣🤣 hvi ww unafkiri nani anaeza muamini mkenya hata sekunde moja
Ukiambiwa hizo gari zimejaa unalia, ukionyeshwa bado unalia. 🤣🤣🤣🤣🤣 Woiiiii.
 
Ukiambiwa hizo gari zimejaa unalia, ukionyeshwa bado unalia. 🤣🤣🤣🤣🤣 Woiiiii.
Zimejaa wakat picha ya gari moja inazungushwa gari toka 2022 🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimecheka sana wallah kaaaaaah hii gari ndio ile nilikwambia imepigwa kabla haijawekwa plate number 2022 na baadae 2023 imesajiliwa na number ikafichwa kaaah
Screenshots_2023-03-02-13-45-52.png
 
Ukiambiwa hizo gari zimejaa unalia, ukionyeshwa bado unalia. 🤣🤣🤣🤣🤣 Woiiiii.
Maisha ya sifa za uongo na kujidanganya hamujambo 🤣🤣🤣🤣🤣 tafuta cadillac escalade 2023 yenye plate number ya kenya unitag mm hapa ili niamini hzo gari zilikua za kenya ukipata nitag plz 🤣🤣🤣🤣
 
Wao ndio huchagua kuweka hizo offices Kenya hua hatuwalazimishi kama nyinyi, mko desperate sana. Don't forget most of the offices in Kenya are regional offices, serving the whole continent or regions.
Nimeona mmeruhusu ushoga na mmepata msaada toka USA sasa mashoga wamefungua ofc Nairobi(hub) au bado.
 
Back
Top Bottom