Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila shaka kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu ni jiji gani bora kati ya Dar es Salaam na Nairobi. Lakini kwa upande wangu, naomba kuonesha sababu kadhaa kwa nini Dar es Salaam ni bora kuliko Nairobi. Hapa kuna meza inayoelezea baadhi ya ukweli:

SababuDar es SalaamNairobi
Idadi ya watuZaidi ya milioni 6Zaidi ya milioni 4
UsalamaKuna changamoto, lakini jiji limeimarisha usalamaMatukio ya uhalifu ni mengi sana
MawasilianoKuna mitandao ya simu bora na gharama za mawasiliano ni nafuuGharama za mawasiliano ni ghali sana
UsafiriKuna mabasi yaendayo haraka (BRT) na usafiri wa umma ni wa uhakika zaidiUsafiri wa umma ni wa changamoto
BiasharaKuna bandari kubwa na shughuli za biashara ni nyingiBiashara ni ndogo
UtaliiKuna fukwe nzuri, vivutio vya kihistoria na utalii wa ndani ni mzuriUtalii mdogo sana na vivutio vya kihistoria ni vichache sana
Kwa ufupi, Dar es Salaam ni bora kwa sababu ina idadi kubwa ya watu, usalama umeimarishwa, mawasiliano ni rahisi na ya bei nafuu, usafiri wa umma ni wa uhakika, bandari ni kubwa na shughuli za biashara ni nyingi, na kuna vivutio vingi vya utalii
 
Huyo alikuwa anakataa SGR kujengw

a na mwenda zake ila kwa ssh ni sawa huyo ni kitumbua+maandazi
 
Zimejengwa muda tu boss, baadhi bado wanaenda Nairobi, na ni sababu za kibiashara, wengine wana mikataba na airlines hasa KQ na zinawapa VERY LOW FREIGHT RATE. Unajua tofauti ya $0.50 kwenye mizigo ni kubwa sana, na ndio maana Serikali inafanya juu chini tuwe na Freighter hapa tu-cut the bull shit.

Kuhusu Tanzanite kutoroshewa Kenya nayo ni business decision tu, wanajua wakiyapitishia Kenya ukiacha import duty wanayolipa kuingiza, hawatalipa mrahaba na other export taxes wakati wanayaexport since Kenya hana Tanzanite so legally hawawezi kuyacharge export taxes.

NB: Import Duty is a bit less compared to mirahaba na other export taxes, so ni mchezo wa numbers tu.

Tuipende nchi yetu, tusikubali kuchezewa, we have millions potential ndio maana tukitight strings and rise our bars majirani wakora wakora wananuna because they used to ride on the elephant and now the elephant is riding on them.
 
Chief hakuna sababu ya kumtukana Rais, hizi tabia waachie Wakenya ndio wamezoea huu ushenzi, hata sisi wengine hatukumkubali sana kipenzi chako JPM kwenye some issues lakini huwezi kuona tunamtusi na kumkosea adabu, tukimkosoa tunamkosoa kama binadamu na mapungufu yake. Tafadhali sana Komredi tulinde image yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…