Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nchi masikini sana hii
Screenshot_20230216-195745~2.jpg
 
Why your government collects taxes?, What are the primary functions of responsible government?, Why Kenya has the biggest budget in EA, for what if there is private sector?
Nani kakuambia serikali haiundi hospitali?? Kwao unaona hospitali zote zikiwa za serikali ndo progress?
 
Comments kwenye hii tweet, ni kuwa, watu wa mataifa mengine wengi wamecomment congratulations Tanzania, comments za wakenya sasa
  • Made in Kenya
  • Built in Kenya
  • A win for East Africa
  • Was it built 100% by Tanzanians?
  • Their ships are built by our military
  • Was designed in Kenya, most of workers were kenyans
  • Is it working?
  • You mean assembled or?
  • Is it locally built or locally assemblied?

Na comments nyingine nyingi za wivu [emoji382][emoji382]
Na bado mpk watakapoamka wote na kugundua Tanzania sio level yao
 
Nani kakuambia serikali haiundi hospitali?? Kwao unaona hospitali zote zikiwa za serikali ndo progress?
Kwasababu mara nyingi hapa tukionyesha mafanikio ya public hospitals za Tanzania, ninyi mnaleta mafanikio ya private sector.

Kwa mfano, sisi tukizungumzia Muhimbili na Mloganzila, ninyi mnaleta Nairobi, Aghakhan na Karen Hospitals
 
Comments kwenye hii tweet, ni kuwa, watu wa mataifa mengine wengi wamecomment congratulations Tanzania, comments za wakenya sasa
  • Made in Kenya
  • Built in Kenya
  • A win for East Africa
  • Was it built 100% by Tanzanians?
  • Their ships are built by our military
  • Was designed in Kenya, most of workers were kenyans
  • Is it working?
  • You mean assembled or?
  • Is it locally built or locally assemblied?

Na comments nyingine nyingi za wivu 💉💉
Na bado mpk watakapoamka wote na kugundua Tanzania sio level yao

Hawa nyang'au linapokuja suala la Tz wanakuwa na mawivu hadi matakoni😂 Sijui kwa nini.
 
But majority of Kenyans don't have water, food, and are killed by bandits and Alshabaab daily
imagine and we still have a bigger economy than danganyika. Imagine how poor danganyika is kama mnashindwa na kenya while we still have all this problems
 
Kwasababu mara nyingi hapa tukionyesha mafanikio ya public hospitals za Tanzania, ninyi mnaleta mafanikio ya private sector.

Kwa mfano, sisi tukizungumzia Muhimbili na Mloganzila, ninyi mnaleta Nairobi, Aghakhan na Karen Hospitals
Ni mara ngapi hapa tumeweka hospitali za kitaifa na counties, nyinyi sijui nini kinawasumbua.
Haya hii ni hospitali iliyojengwa na serikali ya nakuru, umefurahi?
FB_IMG_16765621233175421.jpg
FB_IMG_16765621837339780.jpg
FB_IMG_16765621586576520.jpg
 
Back
Top Bottom