Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,132
Ukute amemuomba tena kwa kumpigia goti yule bwana anayefanya kazi kwny ile benki ampigie picha pesa za watu aandike na jina la mkulungwa mzalendo ili kupoza machungu ya vitasa vya humu ndaniUkionesha Dollar ndio ishara ya maisha Bora hapa waafrica tunafeli badala uoneshe project we unaonesha fedha.
Acha kuwa na mihemko kijana bullet trains uraziona tuu this side of EA.Of course tunajua 'burret' train ndio mko nayo, ila sisi tunangoja kuona bullet train [emoji582]
Sisi tumejenga misingi ya uchumi mda mrefu na hatuna njaa.Nyinyi mumejenga yenu mkafika nayo wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo mtaftie mmakonde anyonywe mpaka kipumulio chake alaf tuone atarudi kwao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa ss ni kweli huwezi kufananisha Dar na ka Nairobi, 2017 kushuka chini ilikuwa sawa ila sio sasa.
Ni kweli huenda ni hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukute amemuomba tena kwa kumpigia goti yule bwana anayefanya kazi kwny ile benki ampigie picha pesa za watu aandike na jina la mkulungwa mzalendo ili kupoza machungu ya vitasa vya humu ndani
Kibera is there to stay!Hivi yale makontena ya qatar yameshafika?
Mihemko? Alice na mihemko ni wewe unayeita ile treni yenu eti ni bullet train. As if you don't know what a bullet train isAcha kuwa na mihemko kijana bullet trains uraziona tuu this side of EA.
Uchumi gani mumejenga bongolala? Hii inayotegemea imports kwa kiasi kikubwa ama kuna nyingine?Sisi tumejenga misingi ya uchumi mda mrefu na hatuna njaa.