Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iconic KICC, tourist magnet

FoRCyDDWQAAh_cp
 
Wizara ya elimu yachukua hatua muhimu juu ya kuzuia uenezaji wa sera ya mapenzi ya jinsia moja.. hatua hizi zinachukuliwa maksudi ili kulinda malezi ya mtoto wa kitanzania yanayofuata mila na desturi za kitanzania👇.
 
Leo nimepita soko la kisutu ukipita kwa karibu unaona kabisa ni soko zuri sana lingekua kunyaland lingeitwa morden hypermarket.

Aisee ile standard ni nzuri sana very clean, I hope mama afanye jambo na soko la buguruni. Linapendeza ukilinganisha na lile la kitambo plus wanauza vitu organic
 
🤣🤣🤣 Wacha chuki na roho mbaya mzee.. mzigo ulianza hivi 👇View attachment 2514548View attachment 2514551View attachment 2514552View attachment 2514553View attachment 2514554View attachment 2514555na sasahiv chuma hiyo hapo imeshushwa majini 👇. Utasemaje ni repair?? 🤣🤣🤣 Wacha wivu na roho chafu kichaa wewe..

Mimi niliwaambia mtu makazi yake kibera, analala na mavi ndani, hana uhakika wa kula hatamlo mmoja wa maana alafu utegemee awe na akili timamu!
 
Back
Top Bottom