Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna china spy balloon kama mbili za kijasusi zinazunguka america na canada huko naskia wazungu hawalali wamejaribu kutungua imeshindikana wanazipeleleza kutumia f22 raptor pamoja na stealth bomber yao lakini wapi bado inawasumbua

Alaf anakuja mtu anakwambia china haina technology hehehe yani watu bado wanadhani dunia imesmamia ulaya tu😆😆

Nahisi Marekani kashikwa pabaya maana anapayuka tu,🤣🤣🤣
 
Acha kabisa imekua gumzo dunia nzima just imagine wameisubiri ifike juu ya atlantic ocean wakaituma F22 raptor alaf wakatumia missile kuitungua 😆😆😆

imefkia hatua mpaka kafunga anga ya califonia alaf anakuja kondoo kutoka kibera anakwambia china haina technology 🤣🤣
 
Kuna china spy balloon kama mbili za kijasusi zinazunguka america na canada huko naskia wazungu hawalali wamejaribu kutungua imeshindikana wanazipeleleza kutumia f22 raptor pamoja na stealth bomber yao lakini wapi bado inawasumbua

Alaf anakuja mtu anakwambia china haina technology hehehe yani watu bado wanadhani dunia imesmamia ulaya tu

Haya mjuaji ashaanza sasa
 
20230204_135227.jpg
20230204_135330.jpg
20230204_135339.jpg
 
Back
Top Bottom