Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FoG1DgiWAAAFmEa
 
Wakati wenzetu ukanda huu wamezubaa zubaa kwa kuogopa ogopa vitu, sisi tunazidi kuchanja mbuga na vitu vya European standard. JPM alishatutoa uoga, tunafanya mambo makubwa ambayo yatawachukua karne na karne kufanyika kunako nchi za wazembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah hawa watu akili zero kabisa. Utakuta wamepitisha gari kubwa la mizigo hapo.
Hata kama ni gari kubwa mkuu isingeweza kuharibika hivyo, mara ngapi magari makubwa yanapita kwenye paving kama hizo huku kwetu na haziharibiki. Hao jamaa quality and standard huwa hawazingatii kabisa.
 
Wakati wenzetu ukanda huu wamezubaa zubaa kwa kuogopa ogopa vitu, sisi tunazidi kuchanja mbuga na vitu vya European standard. JPM alishatutoa uoga, tunafanya mambo makubwa ambayo yatawachukua karne na karne kufanyika kunako nchi za wazembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi tunapiga miradi yote kwa wakati mmoja pesa ipo nchi hii, tukimaliza miradi tunaanza ku deal na unplanned settlement tunaondoa zote kwenye baadhi ya maeneo hasa Dar tunaanza upya.
Amiiin!Wao wamechezea pesa pale thika ukitajiwa figure unaeza ukapigwa na mshangao watu wameshapita nazo kitambo tu.Bila hata hofu.
 
Will never forget before kuchanuliwa na wakenya, danganyikans used to call Kenyan gated communities "mabweni"
washamba sana watanzania 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom