Jamaa wababaishaji kinomaKariakoo ya wapi hako kasehem ni kadogo kamejikusanya tutizama mbele ya magorofa utaona pori kama kawaida





Yani hawa wapuuzi wameshindwa kabisa kutoa vipesa kdg kuboresha mazingira yanayozunguka hiyo road ya msaada, Wakenya ni mafukara sn wallahi.Kunya ni nchi ya miundombinu ubora wa chini.






Yani hawa wapuuzi wameshindwa kabisa kutoa vipesa kdg kuboresha mazingira yanayozunguka hiyo road ya msaada, Wakenya ni mafukara sn wallahi.View attachment 2505602View attachment 2505603
Kwanza hii road ya msaada kutoka China ndiyo imeongeza foleni, gari nyingi hazipiti huko juu alafu chini road ya msaada kutoka China imebana eneoView attachment 2505613View attachment 2505614
Huwa wanapenda kuiga mambo ila wanafanya kijuakali sn, hivi vitu wanaiga Tz sema tofauti ni kwamba sisi huwa tunafanya kweli, mfano hiyo road ya msaada kutoka China kama ingekuwa Tz hayo mazingira yanayozunguka hiyo road yasingekuwa hovyo namna hiyo, refer to all our flyovers, interchanges and other new infrastructures.Ni kama fundi alizirushia bila kushindilia na pembeni hakufunga mkanda vizuri.
Ndiyo maana nikasema wanatuiga lkn wao wanajenga kijuakali, huwa wanapenda kupendezesha kamji kao lkn tatizo corruption inawasumbua, Kenya kila mtu mwizi na hawana uzalendo.Mbona chini ya flyover na interchange zetu pamekaa vizuri tu, wao wanakwama wapi kupaweka vizuri?
Wanakaribia milioni 60, kwa ss wapo over 55mil.Aisee...kumbe mko wengi hivyo?
Yaan kenya mnatukaribia kwa population? Mko 50m?
Kunya ni nchi ya miundombinu ubora wa chini.
Watoe pesa mara ngapi? 😂😂😂Yani hawa wapuuzi wameshindwa kabisa kutoa vipesa kdg kuboresha mazingira yanayozunguka hiyo road ya msaada, Wakenya ni mafukara sn wallahi.View attachment 2505602View attachment 2505603
Kunya ni nchi ya miundombinu ubora wa chini.
Ligi ya Tz ni bora kuliko ya South Africa alafu kuna watu wanajilinganisha na Tz kwenye soka, wanakuambia timu zao zinaweza kuzifunga timu za Bongo, ukiwaambia tumecheza lini wanakuletea mechi za kipindi ligi yetu ni ya 50 kwa ubora Africa.Hata mkinuna tutaendelea kuiweka tu.
View attachment 2505635
Dah hawa watu akili zero kabisa. Utakuta wamepitisha gari kubwa la mizigo hapo.Kunya ni nchi ya miundombinu ubora wa chini.
Watasema mkopo hawa jirani, wajue nguvu ya kujitegemea aliyoanzisha Nyerere sio gdp za makaratasi.Pesa za ndani
Nikiwaambia njaa ndio inawaleta mkabisha ,haya Sasa 🤣🤣🤣🤣
vya


