Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbona rick ross yupo soft sana wewe.......hana ugumu wababe tunaowapa respect nakuwaogopa tena wapo original ni hawa

EMINEM SLIM SHADY
DR.DRE
PUSHA T
JAY Z
KENDRICK LAMAR
AKIM
LUPE FIASCO
NAS ESCOBA
KANYE WEST

nakuna raia wengine wanavuma kule kule ila ni balaaa kidogo nimewasahau ila waliobaki wote ni manyang'au tu hawana vitisho ni wakawaida sana
respect my friend...hao ndio ma rapper kamili...sasa tuwe marafiki sasa....nimekuheshimu
 
kama kingereza kina play part kubwa katika talanta ya mtu,mbona wanamuziki wa kenya wanaojua kingereza hawajafika level ya juu aliyofika diamond na ally kiba(wasio jua kingereza).

prezzo na kingereza chake,kaishia wapi?.

nemless na kingereza chake,kaishia wapi?.

wahu na kingereza chake,kaishia wapi?

jua kali je?,nonini je?....na kadhalika.

tufafanulie kwanza hapo uki-base point zako katika kingereza.
waimbaji wakenya ni bure....very useless....hata heri watz...lakini kwa Nigeria tz haitoboi...hapa EA mi namsikiza Ali Kiba na huyu bibiye Jux pekee yake...
 
ukizoea quality music kama hizi za akina Burna Boy,Sarkodie you cant listen to Diamond...inakua aibu tupu

hapo aliye original tena kidogo ni salkodie....wengine wote hamna kitu woote wapita njia at ze end of ze day bongo flavour ndiyo king of africa .....kama jinsi lugha yetu jinsi ilivyo
 
Hahahaha, Juakali, yule yamaa hata kwa mbali unagundua kuwa ni Mkora, ila kina ile sheng alikuwa anaimba ilikuwa inanibamba... What happened to Kenyan Music aisee..
sijaelewa....aisee yule jamaa sijui kafa maana kenya nao wanawasanii uchwala sana wakora
 
shida huyo jamaa wenu haezi kiingereza...ndio maana anasikika tu hapa EA...wale kina wizkid wapo level ingine bana...si level ya machokoraa toka Tandale
emoji23.png
emoji23.png
nani kakudanganya kama haijui english......?...kama english ingekuwa tabu kuiona ama kujifunza kama kuuona ufalme wambingu sawa....

nakingine anawanyoosha hvyo hvyo swali je ni wasanii wangapi wa kikenya wanajua english na wametoboa?,,ila cha ajaabu mmeganda hapo hapo kenya kwenu hata malawi tu haiwatambui ....

english si kitu mziki hauna mama language ,,
 
niukweli muziki haina lugha ila ukitaka kupenya duniani kote ni bora ujue kuimba kwa lugha ya kidunia...Kiswahili ni local sana...hapa tu EA..namheshimu bibiye Jux sana sababu anazungumza kiingereza kizuri sana na anaweza basi akaimba na kiingereza...
 
Diamond ndio original? we ndugu wacha jokes...if not for Nigeria music, SA music is on top..TZ music is on top in Video quality but not in content...
pole sana asa mziki wa bongoflavour utalinganisha na mziki wowote hapa duniani.....

tuna own music style......acha akili za matope....

##WE RUN na tutachalaza milele hii industry hapa africa na dunia
 
kama kingereza kina play part kubwa katika talanta ya mtu,mbona wanamuziki wa kenya wanaojua kingereza hawajafika level ya juu aliyofika diamond na ally kiba(wasio jua kingereza).

prezzo na kingereza chake,kaishia wapi?.

nemless na kingereza chake,kaishia wapi?.

wahu na kingereza chake,kaishia wapi?

jua kali je?,nonini je?....na kadhalika.

tufafanulie kwanza hapo uki-base point zako katika kingereza.
huyo jamaa kashavuta ugolo.....hana jipya
 
pole sana asa mziki wa bongoflavour utalinganisha na mziki wowote hapa duniani.....

tuna own music style......acha akili za matope....

##WE RUN na tutachalaza milele hii industry hapa africa na dunia
bonglo flava lol!! who the hell listens to Bongo flava if not for househelps and chokoraas??
 
mnaweza kuongoza kwa muziki...hatuna shida nanyi hapo...sisi twataka kuongoza kiuchumi...mtuburudishe tu tunapofanya kazi kuongoza ukanda huu kiuchumi...hata Congo leads in Lingala ila waone walipo kiuchumi...
Huwa najiuliza sana inakuwaje mnajisifu mnapiga kazi wakati chakula hakiwatoshi , kila mwaka Tanzania lazima iwape msaada wa kiutu kuwasitiri msife njaa, kazi mnazo jinasibu mnapiga ni zipi hasa
 
hizo ma kiswahili sanifu za Bongo flava huwa zinani put off kabisa!! very boring manze...
 
Huwa najiuliza sana inakuwaje mnajisifu mnapiga kazi wakati chakula hakiwatoshi , kila mwaka Tanzania lazima iwape msaada wa kiutu kuwasitiri msife njaa, kazi mnazo jinasibu mnapiga ni zipi hasa
huwa najiuliza nami pia inakuwaje bado nyie ni LDC ilhali mna rasilimali chungu nzima....ata pia mimi nina maswali
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
waimbaji wakenya ni bure....very useless....hata heri watz...lakini kwa Nigeria tz haitoboi...hapa EA mi namsikiza Ali Kiba na huyu bibiye Jux pekee yake...
mwambieni caligraph jones kuwa mimi ni shabiki wake namba moja hapa tanzania ila aache kuigiza umarekani....awe real kama mkenya.

hata aige vipi namna ya kuongea kingereza kama wamerekani weusi wa bronx au harlem,atabaki tu kuwa mkenya.

kuigiza umarekani haitakuja kumjenga...sana sana mwisho wa siku watu watamuona mjinga.
 
niukweli muziki haina lugha ila ukitaka kupenya duniani kote ni bora ujue kuimba kwa lugha ya kidunia...Kiswahili ni local sana...hapa tu EA..namheshimu bibiye Jux sana sababu anazungumza kiingereza kizuri sana na anaweza basi akaimba na kiingereza...
kiingereza ndiyo kukigusia lazima....ila ukikigusia nyimbo nzima.....unapotea kwani mziki wa aina ile niwakwao nawameshauzoea yaani utakuwa huna jipya endapo ukitumia full english
 
Back
Top Bottom