Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa huu c uchafu huu.
 
Kwani nmesema siwaheshimu hawa wajomba? Unafikiri kujenga mji hadi uwe ivyo ni suala la mchezo mchezo nn..Iyo Beijing nilikuambia ni Moja ya mji wa maana sana nnaoufahamu kutoka China tangu awali

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Any thing in comparison from western world.?
Sasa unataka compare viwanja ama majumba? Usisahau kila kitu kinajengwa kusave purpose fulani, wachina wako 1.4B mahitaji yao ya Nyumba ni makubwa kuliko Waingereza ama wajerumani ambao ni wachache 80M hivi...
Au unadhani Europe/America hakujajengeka bruh?
Haya hii ni Amsterdam/Netherlands


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa umedata[emoji1]
Mbali na Tanzania umewahi fika nchi gani ya ulaya

sehemu ikiwa nzuri ni lazma watu washoboke tu, sasa hivyo viwanja nani ataenda kushangaa zaidi yako wewe

Alicante spain and mykynos greece
View attachment 2503031
 
Yaani Profit ya all commercial banks in Tanzania? KCB bank profit in 9 months 2022 was ksh 30 Billion... which means 12 months ni same na all tanzania commercial banks [emoji23]View attachment 2502841

Sasa kama kcb inafanya biashara na pesa ya Gov what do you expect?
Hata hivyo KCB is not able to fund even a 10km Road hapo Kundustan ,
William Loot-all and riggy G are busy running around the globe , country after country begging for financiers of whatever project you have, plus begging for food donations.
Imefika hatua hadi mnaomba msaada wa chakula Ukraine,
What is the Role of KCB ?
 
Ingekuwa rahisi hivyo kujenga basi india wangekuwa na nyumba bora.
 
Hawa kenge wanadharau u DC Kwa vile huko Chama Cha Walimu wanakula 7.2 mln vs 4.2 mln ya DC..

Naunga mkono wanyooshwe,kwanza Wana kashfa kibao pale chama Cha Walimu.
Kukataa ni hiari yao huwez lazmisha watu watumikie jambo hawalitaki 🤣🤣 simunadai muna haki za binaadamu ziko wapi sasa au haki za binaadamu hua zinatumika kwa maslahi ya nyuma ya pazia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…