Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zikitumwa picha za shenzhen huku alafu unakuja kutuma picha za Nairobi ama dar nabaki nikicheka tu apa...sisi tuko dunia ya wapi kwan[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Ukishapitapia miji ya watu wenye akili huko duniani unatakiwa ujipe pause kidogo, kaa hata siku tatu au nne hivi akili yako irejee ulimwengu wa tatu kisha uanze tena kutuma picha za nairobi na dar humu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukipata official source tanzania imekopa pesa uturuki au mturuki kaweka pesa yake kwenye SGR nitag plz nifunge acc 🤣🤣🤣 munapata presha bure kabisa
Official source ndio kama gani bongolala? This deal was signed when Turkish president visited your country
 
Kwahiyo hata Raisi wa Egypt alivyokuja Tanzania alitoa hela za kujenga JNHPP mawazo ya Wakenya ni ya ajabu sana.
 
Wewe ukiona Dar imeshinda Nairobi ni sawa pia swali je wewe unatengeneza shingi ngapi hapo Dar na Nairobi , dollars za Dar hizi [emoji23] Dar kuna hela , Nairobi kuna hela msidanganyaneView attachment 2501373
Handwriting yako nzuri. Inaonekana mwalimu wako wa awali alifanya kazi nzuri sana kuushape mwandiko wako [emoji122][emoji122][emoji122][emoji846][emoji846][emoji846]
 
Traffic Muranga road, Kenya
Sio sifa hata...ni moja ya indicator ya umaskini...


Mngekuwa na public transport nzr kama BRT, trams nk...na mkapunguza baadhi ya office na huduma muhimu kutoka CBD..msingepata traffic za namna hii...


Lakin sasa mtafanyaje...hela mlikopa sana mafisadi wakaila mkajenga miradi ya kujisifia mbele ya nchi nyingine badala ya kusolve matatizo ya nchi yenu..


I feel sorry for you
 
Na kaweka hii picha kutaka kuonyesha sifa wana magari mengi au lane nyingi, kumbe uchafu na ubackward 😂
hivyo vipanya vinne vingekua repalced na Bus Moja, hivyo kupunguza idadi ya magari barabarani, wakumbuke hata kama haya magari ni zero emision, A traffic jam is still a traffic jam 🤣
 
Kama kweli Rais mwenye akili zake timamu asiye mpumbavu anawezaje kuteua viongozi kiolela bila hata wao wenyewe wanao teuliwa kuwa na utashi wa kuongoza ...sifa moja ya muajili mwenye akili timamu ni kutafuta wafanyakazi wenye kuweza kazi na wenye kupenda hizo kazi unazo waitia kuzifanya ....ni upumbavu ulio tukuka kuteua mtu kwa namna hii yani mimi nimeshangaa sana sikutegemea upumbavu wa hii serikali umefikia kiwango cha juu kiasi hiki ....kiongozi unatakiwa kufanya mambo yote kwa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…