muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Naona kama it's overpriced! Kwa 600m tu $1.5 ! hapana!
Naona kama it's overpriced! Kwa 600m tu $1.5 ! hapana!
Duh hawa jamaa ni hatari sana.
Manifesto ya chama ilisema wapi kuhusu SGR? Nyie mpo wachache mno subirini tuanze kazi sasa. Mnatuchukulia poa na wenzako.Eti Miradi yanani? Alitoa fedha usukumani? Au aliandika yeye manifesto ya CCM? Miradi ya Magufuli ni ile ya Chato tu ikiwemo uwanja wa ndege wa Chato ambao huwezi kuupata kwenye manifesto ya ccm! Mingine yote chama ilimuamuru kuitekeleza kupitia manifesto!
Potezea tuu, achana na watu wenye wivu kwa mtu aliyekwisha kufa. Vilaza wasiojiamini kuanzia Januari mpaka baba yao msoga wanawivu kwakuwa hata waishi miaka 1000 hawataweza kufanya yaliyofanywa na Magu kwa miaka 5.Manifesto ya chama ilisema wapi kuhusu SGR? Nyie mpo wachache mno subirini tuanze kazi sasa. Mnatuchukulia poa na wenzako.
Mtandao wenu tunaujua.
Potezea tuu, achana na watu wenye wivu kwa mtu aliyekwisha kufa. Vilaza wasiojiamini kuanzia Januari mpaka baba yao msoga wanawivu kwakuwa hata waishi miaka 1000 hawataweza kufanya yaliyofanywa na Magu kwa miaka 5.



Hawawezi kuiga yale mazuri kwasababu wanapata amri kutoka kwa akina Charles Schwab, kuua legacy ya Magu.Wapo busy kurekebisha alipokosea JPM ila kuiga yale mazuri is “where they draw the line”![]()
Issue ya kujenga ngazi ni nzuri sana , sasa waongeze tu ameities hapa na pale na kupapa promotion , ni moja ya eneo muhimu kwenye southern circuit tourism
SGR haikuwepo kwenye manifesto na SGR mpango wa Kikwete ulikuwa kama Kenya, Treni la diesel.Eti Miradi yanani? Alitoa fedha usukumani? Au aliandika yeye manifesto ya CCM? Miradi ya Magufuli ni ile ya Chato tu ikiwemo uwanja wa ndege wa Chato ambao huwezi kuupata kwenye manifesto ya ccm! Mingine yote chama ilimuamuru kuitekeleza kupitia manifesto!
Duh aisee, hii ni ambulance wallahi Kenya ni zaidi ya uharoFailed state.









Hapo ni Bongo.
🤣🤣🤣Kwa hivyo leo GDP ina umuhimu? 😂😂
Mitanganyika bana!
SGR haikuwepo kwenye manifesto na SGR mpango wa Kikwete ulikuwa kama Kenya, Treni la diesel.
Ujenzi wa Dodoma na kuhamia haikuwa kwenye manifest ya CCM, Ununuzi wa ndege haukuwa kwenye manifesto ya CCM.
Bwawa la Nyerere halikua kwenye manifesto ya ccm same kwa daraja la Busisi, Wami. The list is endless kwa kweli.
Eti "alitoa usukumani fedha" kama zilikuwepio kwa nini huko nyuma hiyo miradi haikujengwa?
Alibana matumizi na kuwabana mafisadi walikuwa walikila mishahara ya wafanyakazi hewa, kusafiri hovyo na kutolipa kodi stahiki.
Inadaiwa tangu Nyerere 1961 mpaka Magufuli 2020 nchi kwa jumla ilikuwa imewahi kukopa trillion 60. Ndani ya miaka miwili, Bibi yako amekopa zaidi ya trillion 30.
Kikwete miaka (10) kumi pamoja na ule msaada wa USA Millenium Challenge alikonekt umeme vijiji 2000 tu.
Give credit where is due.
Kwanza hiyo tuk tuki inavyolia inamshtua mgonjwa.
Ametumia lugha yenu ili muelewe vizuri.Kwa hivyo leo GDP ina umuhimu?
Mitanganyika bana!



Mkuu mkuu mkuu,nimekuita mwisho nakushauri tu katafute ilani ya CCM 2015.Pia ukiweza tafuta hotuba za JK 2013 Hadi 2015 kuhusu SGR labda ambalo halikuongekewa na issue ya Umeme tu.Manifesto ya chama ilisema wapi kuhusu SGR? Nyie mpo wachache mno subirini tuanze kazi sasa. Mnatuchukulia poa na wenzako.
Mtandao wenu tunaujua. Hamtokaa muweze kufifisha kazi za Magufuli milele. Ila tutawapoteza nyie. Lengo lenu ni kumgombanisha Rais na wananchi ili mpate upenyo 2025. Hamuwezi kamwe.
Mzee unaniambia nitafute wakati mimi ni mmoja wa waandishi. Hebu acheni basi mawazo ya kitoto. Kuweni basi kiakili.Mkuu mkuu mkuu,nimekuita mwisho nakushauri tu katafute ilani ya CCM 2015.Pia ukiweza tafuta hotuba za JK 2013 Hadi 2015 kuhusu SGR labda ambalo halikuongekewa na issue ya Umeme tu.