Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajenga vituo vingi vya CNG in Tz all those cars will be using locally sourced gas in the near future.
 
Wewe leta ushahidi hakua[emoji16][emoji23]
wewe nani kakuambia? 😀😀 leta evidence!
Mwenzako huyo pia aliomba ushahidi. Bahat mbaya hio comment nilifuta sababu hata mwenyewe sijui😎😄

Ukiangalia hio tar ya comment, ilikuwa ni tar 11 March 2021, na Magu alifariki tar 17 March 2021. Kipindi hiko ilikuwa haijulikan yuko wap lkn watu wachache (ndugu/familia/vitengo/TISS/viongozi wakubwa wa nchi) ndo walikuwa wanajua yuko wapi
(niongeze chumvi kujipendelea. By that time, I was among those lucky people who exactly knew where he was😄😎)
 
Achana nao hao.
 
Toa uchafu wa lipstick hapa, hiyo ya Luanda ipo kama ilivyo nyie yenu matakataka, mamikojo, kinyesi vimejaa CBD. Be realistic msee.
Kaumia😂,,Kili hapa Nairobi ni ya nne kwa ubora imagine, after CBD, Westlands and upper hill 🥰😍
 
As head of state, ana info zote za ki-inteligensia so, ana sababu ya kwanini kakataa kutoa pesa.

Pia, alikataa kutoa pesa kwenye ule mradi wa NSSF Kigamboni ambo kwa sasa inasemekana hautekelezeki na serikali inataka kuupiga mnada.
Kwa Chato intelligence haikuwapo sio ila mahala na chuo chenye jina la baba wa Taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…