aise hao mahousehelp ni wengi sana.....hongera yao wakenya kwa kuwa na househelp wenye faida...kama wakenya wanaosikiliza bongofleva ni ma-housemaid na machokora,basi hawa hapa chini ni majowao,wote ni wakenya na wahaachi kuongeza views kwenye videos za bongofleva katika mitandao wa youtube.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.Sasa diamond hua anaiba nini? Heri Ali kiba hua anaeleweka

anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.
hukutakiwa kuandika "anaiba"...ulitakiwa aandike anaimba.
anakushinda hata collomzii,siku yupo vizuri kiasi kwenye kiswahili.![]()

Mama wewe kiswahili ndio nini?anaiba?...we mkikuyu mjinga,jifunze kwanza lugha ya kiswahili ndio ujadiliane na mimi.
hukutakiwa kuandika "anaiba"...ulitakiwa aandike anaimba.
anakushinda hata collomzii,siku yupo vizuri kiasi kwenye kiswahili.![]()
huwa nasema kila siku,elimu ya kenya hijasaidia kuwatoa vijana wengi wa kenya katika kundi la wajinga.asante comrade kwa kuliona hilo.Kwaiyo unamaanisha alivyokutana na Ne-Yo na Morgan Heritage na Rick Ross the Boss walizungumza na kuelewana kwa Kijaluo? Hivi huko mashuleni mnafundishwa ujinga pia?
usifananishe elimu ya Kenya na elimu ya Bongo ww...aibu tupu...huwa nasema kila siku,elimu ya kenya hijasaidia kuwatoa vijana wengi wa kenya katika kundi la wajinga.asante comrade kwa kuliona hilo.
usifananishe elimu ya Kenya na elimu ya Bongo ww...aibu tupu.

wajinga huwa wanaelewana vizuri na wajinga wenzao....kama mkenya mjinga, mtz mjinga mara tatukama elimu yenu ni bora,mbona mna ujinga sana?...au elimu yenu ime-concentrate katika kuwafunza kingereza pekee?.smh.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio bure wewe utakuwa ulikunywa chang'aa iliyo chachaMama wewe kiswahili ndio nini?
zamani nikiwa primary school nilikuwa na mentality potofu sana.wajinga huwa wanaelewana vizuri na wajinga wenzao....kama mkenya mjinga, mtz mjinga time three
kuzungumza Kiingereza kizuri sio kipimo cha werevu...hapo nakubaliana nawe...ila ujinga ni kuleta picha za Kibera na kupiga makofi...huo ndio ujinga...zamani nikiwa primary school nilikuwa na mentality potofu sana.
nilidhani kila anayezungumza kingereza ni mwerevu.kumbe sikuwa sahihi.
nilipofika nairobi kwa mara kwanza nilistaajabu sana,nilikutana na baadhi ya vijana wa kikenya wapo so eloquent kwenye kingereza lakini ni wajinga sana.
hata ukifanya nao discussion ya kawaida, it was so easy for me know that i was discussing with a nincompoop.
vichwa vyao nilikuwa vizito sana(thick headed)katika kuchanganua mambo.
kidogo sikilizapumbavuuu...Diamond ameimba wimbo upi wa Kiingereza??
kidogo sikiliza
kibera hoyeeeeeee!!!!kuzungumza Kiingereza kizuri sio kipimo cha werevu...hapo nakubaliana nawe...ila ujinga ni kuleta picha za Kibera na kupiga makofi...huo ndio ujinga...
