Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Mlima kilimanjaro washinda tuzo ya kivutio bora africa kwa miaka minne mfululizo.. asante tanzania
View attachment 607669
Mlima kilimanjaro washinda tuzo ya kivutio bora africa kwa miaka minne mfululizo.. asante tanzania
View attachment 607669
sitakulaumu ukikumbatia transformer 😀😀😀😀😀![]()
hizi tuzo huwa zinashindwa kote duniani kila dakika ndugu...wacha aibu![]()
exactly...thats what I meant...kibera hoyeeeeeee!!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sitakulaumu ukileta post za maana...sio hizi za aibusitakulaumu ukikumbatia transformer 😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀 yani nahisi mpaka kishipa kimekutokasitakulaumu ukileta post za maana...sio hizi za aibu
eti Kilimanjaro imeshinda tuzo...![]()
![]()
unajua kuna milima ngapi duniani wewe?![]()
hii ngoma ya huyu mkali ni yakitambo sana ila nayo itizame nabuisikilizekuna nini?
Wanaitwa NAVY KENZODarassa ako sawa....Ali Kiba tena sana...Vanessa Mdee respect...na ile group sijui wanajiita aje...group ya mwanadada na jamaa flani wameimba kamatia chini... wako poa sana...wengine wote washamba
Busy Kaka na Shule
mungu pokea roho za wakenya waliofariki katika ajari hiyo.KENYA: Watu 2 wamefariki na wengine 30 wanahofiwa kunasa kwenye kifusi baada ya jengo la ghorofa nne kuanguka kwenye mji wa Kisii.
- Watu 26 wameokolewa kutoka kwenye kifusi na kukimbizwa hospitali, juhudi za uokoaji bado zinaendelea
Zaidi, soma => Two dead, 14 admitted as five storey building collapses in Kisii
View attachment 607727
Waa hii ni barabara gani!!!!PPF TOWER Along Sam nujoma road before millenium tower at 33flr now,kazi inaendelea. ....![]()
Iyo barabara inachepukia kwenda Sinza, barabara yenyewe ya Sam nujoma ntakuonyesha soonWaa hii ni barabara gani!!!!
Waa hii ni barabara gani!!!!