MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,512
- 53,474
Yaani Wakenya ndio wakutuambia sisi kuhusu ufisadi? We jamaa kilaza kweli, kwanza sidhani hata kama kweli we ni Mkenya, Mkenya halisi angekuwa na aibu hata ya kuongea nonsense kama hizi.
Napitia sana taarifa kila siku za namna mumepigwa, ukizingatia nchi yenu maskini, mtu unadiriki kuifilisi nchi maskini hiyo ni laana moja kwa moja.

