Karibu tena maake ulisema maisha yatakuwa magumu baada ya Ruto kuingia madarakini
Mnatumia pesa ipi wakati mnaomba chakula Ukraine? View attachment 2490390
Wewe umesema mnalima maua na chai mnauza bei mbaya halafu mnanunua chakula lakini Riggy G anasema yeye kama Deputy President mandate yake imekuwa reduced to a food beggar from mabeberu na kutoka kwa former colonial powers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa vitu nilivyoona wiki hii, sikutegemea kabisa.
Mnachapaje kazi na njaa?Uzuri Wakenya ni wachapa kazi, hawategemei urais au mtu, hizo ndio tabia za kijamaa ambazo zimesababisha muwe wazembe na maskini.
Mnachapaje kazi na njaa?
Mmekuwa capitalist state tangu 1960s mkiwa na access ya mikopo mikubwa toka banks za west, hakuna lolote la maana mlilofanya. Mlitakiwa kwa sasa muwe mshajenga SGR kukonect na UG, RW, BND, DRC, ETH, SSD. Pia militakiwa muwe na International airport zaidi ya 4 active by now na Mombasa port ilitakiwa iwe na ukubwa wa at least Durban port.
Mlitakiwa mmeshaushika huu ukanda kila angle kwa mbali sana. Leo hii mnahangaika na mahindi 😂 😂 😂 😂 😂
Nyie ndio wazembe na wapumbavu wakubwa.
Hiyo kuwa capitalist na uchapa kazi wetu ndio umetuwezesha kuwazidi mara mbili kiuchumi licha ya zaidi ya nusu ya nchi yetu kuwa kame tupu na kiangazi kila mahali, huku nyie mkiwa na nchi kubwa yenye rotuba nzuri kila mahali, madini ya kumwaga na vivutio bora...laana yenu ujamaa uliwalemaza na kuwafanya wazembe wa kutupwa.
GDP ni maandiko tu ya makaratasi. Uchumi wa kweli ni maisha halisi ya watu.
Uchumi wa kenya unasoma mkubwa ila hela zote znamilikiwa na 4 families.....na majority ndio wamekua maskin wa kutupwaSio makaratasi, tunaiona na kuishuhudia, itawachukua miaka 100 kutukaribia maana pengo linazidi kuongezeka.
Uchumi wa kenya unasoma mkubwa ila hela zote znamilikiwa na 4 families.....na majority ndio wamekua maskin wa kutupwa
Huna unalolijuaKENYA inazidi Tanzania mara mbili kiuchumi na wana population kubwa kutushinda
Mnachapaje kazi na njaa?
Mmekuwa capitalist state tangu 1960s mkiwa na access ya mikopo mikubwa toka banks za west, hakuna lolote la maana mlilofanya. Mlitakiwa kwa sasa muwe mshajenga SGR kukonect na UG, RW, BND, DRC, ETH, SSD. Pia militakiwa muwe na International airport zaidi ya 4 active by now na Mombasa port ilitakiwa iwe na ukubwa wa at least Durban port.
Mlitakiwa mmeshaushika huu ukanda kila angle kwa mbali sana. Leo hii mnahangaika na mahindi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie ndio wazembe na wapumbavu wakubwa.
Sio kuuza mahindi nchi zote hizo tu bali kuuza mahindi nchi zote hizo kipindi cha ukame wa kutisha bila muuzaji mwenyewe kuadhirika! Kunyaland wanasema wao ni jangwa hawawezi kupata chakula lakini Tanzania imeweza kuuza chakula kingi wakati wa ukame uliokumba ukanda wote!Wanasema sisi ni wavivu,okay mvivu anauza mahindi owa nchi zote izo?Jamaa hawana adabu hawa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dah mara 100 kama alipoteza kuliko kama kimetokea ninachokiwaza 🤞JF kwenye ku remember password bhana.. Ahh
Bhas tu.. ID zinapotea hivi hivi..
Paper based fabrication the rest is null and void.Hiyo kuwa capitalist na uchapa kazi wetu ndio umetuwezesha kuwazidi mara mbili kiuchumi licha ya zaidi ya nusu ya nchi yetu kuwa kame tupu na kiangazi kila mahali, huku nyie mkiwa na nchi kubwa yenye rotuba nzuri kila mahali, madini ya kumwaga na vivutio bora...laana yenu ujamaa uliwalemaza na kuwafanya wazembe wa kutupwa.