kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
in the world?...EA?...or in kenya?....tufafanulie vizuri ili nasi totoe pongezi pale inapostahili.Citizen TV Best media
Safaricom Best TELCO
![]()
in the world?...EA?...or in kenya?....tufafanulie vizuri ili nasi totoe pongezi pale inapostahili.Citizen TV Best media
Safaricom Best TELCO
![]()
in the world?...EA?...or in kenya?....tufafanulie vizuri ili nasi totoe pongezi pale inapostahili.
punguza hasira...inaonekana roho inakuuma sana kwa diamond kufanya collabo na ross.mnaweza kuongoza kwa muziki...hatuna shida nanyi hapo...sisi twataka kuongoza kiuchumi...mtuburudishe tu tunapofanya kazi kuongoza ukanda huu kiuchumi...hata Congo leads in Lingala ila waone walipo kiuchumi...
huna jambo ......wewe. bora ukae kimya[emoji15] [emoji13] [emoji13]rick ross kashajidharau...sasa huyu ni mtu wa kumpea collabo...kumbuka jinsi alivowaaibisha Morgan Heritage kwa wimbo uchwara...lakini ile collabo ya NEYO ndio alijikaza angalau.....very good song...
kwani hua sitoi pongezi kwa wakenya?...mbona mara nyingi tu huwa napigia makofi post zenu,au huwa huzioni?.pongezi au kejeli...tunakujua ww
hadhi gani anayojishusha...?..punguza kutoa matope.....diamond ni msanii mkubwa kwa sasa...Afrika kwa sasa naona ni Nigerian artists kama Wizkid ndio wanaweza kupewa collabo kubwa kubwa kama hizi...Diamond anamshushia Ross hadhi kwa hili...Ross ni international superstar mobna anataka kujishusha hadhi kiasi hiki?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]sawa tumekusikia ndg njoroge wa kamau.[emoji23]
pole kama umeumia...lakini mi sioni kama Ross ni level ya huyu jamaa...nikama mtoto wa nursery anacheza na wanafunzi wa chuo kikuu...huna jambo ......wewe. bora ukae kimya[emoji15] [emoji13] [emoji13]
msanii chokoraa...nakubaliana nawe.hadhi gani anayojishusha...?..punguza kutoa matope.....diamond ni msanii mkubwa kwa sasa...
kwani hua sitoi pongezi kwa wakenya?...mbona mara nyingi tu huwa napigia makofi post zenu,au huwa huzioni?.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
hawakuwa original na tatizo kubwa la wasanii wakikenya wengi hawana uoriginal.....vitu wanavyofanya vishafanywa sana na wanyamwezi...na raia wengine so sisi watz tunaitumia lugha yetu ipasavyo na kwamtindo wetu huu ea midundo ya bongo flavour na kugusia midundo ya nnje kidogo sanaGame linachange, wajanja wachache wanabaki kwenye game, especially wale wanaochange kadiri game linavyochange,
Wale sauti Sol walikuwa na copy and paste sana, (too much Ctrl C Ctrl V,) milage yao ilikuwa fupi sana.
Wasingetoboa,
tupo namba2 hapo.....kipindi cha nyuma sana kwa upande wa hiphop tulikuwa namba1 na ilitubeba because we have our own music na watunz bora kwa flowKwenye Music industry Africa sasa hivi ni
1.Nigeria
2.RSA
3.Tanzania.
Please bring me any different source (without .co.ke) sources with .ke doesn't make any sense and they are untrustworthy (u know it nah?)World Branding Awards in London.
https://businesstoday.co.ke/tuskys-wins-global-supermarket-brand-award/.Wd9AG9bnIVQ.twitter
mmeshinda akina AKA na Casspr Nyovest??tupo namba2 hapo.....kipindi cha nyuma sana kwa upande wa hiphop tulikuwa namba1 na ilitubeba because we have our own music na watunz bora kwa flow
Mbona tushanyakua hiyo nafasi, bado hujaelewa tu msee?mnaweza kuongoza kwa muziki...hatuna shida nanyi hapo...sisi twataka kuongoza kiuchumi...mtuburudishe tu tunapofanya kazi kuongoza ukanda huu kiuchumi...hata Congo leads in Lingala ila waone walipo kiuchumi...
hiyo ni hofu yako tu "msee"...mimi ni mtu cool sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani unavo behave nikama fisi amevaa ngozi ya kondoo...uta post picha za Kibera muda mfupi...
ndiyo maana nakuambia huna jambo bora utafute shughuli za kufanya upike vitumbua ama endelea kupost cbd za hapo nairobi....mpaka uzee wako[emoji13] [emoji13] [emoji30] [emoji30]pole kama umeumia...lakini mi sioni kama Ross ni level ya huyu jamaa...nikama mtoto wa nursery anacheza na wanafunzi wa chuo kikuu...![]()
![]()
haya mnaweza rap haswa kama Rick Ross??Mbona tushanyakua hiyo nafasi, bado hujaelewa tu msee?