Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndiyo maana nakuambia huna jambo bora utafute shughuli za kufanya upike vitumbua ama endelea kupost cbd za hapo nairobi....mpaka uzee wako[emoji13] [emoji13] [emoji30] [emoji30]
sawa chokoraa
emoji23.png
emoji23.png
 
msanii chokoraa...nakubaliana nawe.
emoji23.png
emoji23.png
..afrika kama si wizkid ni Ice prince ama waafrika kusini na wa nigeria wengine...sio machokoraa wa Bongo...heri useme Ali Kiba lakini si huyu jamaa...
hao wote wakinigeria ulio wataja hamna kitu......hata show hawaziwezi huyo wizkid ndiyo kabisa ...yaan ni msanii bora wakuandaa ngoma kali studio ..ila ukimpa stage na mic.....hamna kitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

bora kaka yako juakali
 
King Kiba forever...
emoji23.png
emoji23.png
Diamond=chokoraa...huwa anaimba upuuzi huyu jamaa..hana variety..style moja tu miaka nenda miaka rudi...
kijana.....bora uendelee tu kuvizia free wi-fi hapo city garden park...na sigara mkonon ili ujifariji
 
hao wote wakinigeria ulio wataja hamna kitu......hata show hawaziwezi huyo wizkid ndiyo kabisa ...yaan ni msanii bora wakuandaa ngoma kali studio ..ila ukimpa stage na mic.....hamna kitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

bora kaka yako juakali
atleast wizkid anaeza aka rap...na bado anaimba...
 
hao wote wakinigeria ulio wataja hamna kitu......hata show hawaziwezi huyo wizkid ndiyo kabisa ...yaan ni msanii bora wakuandaa ngoma kali studio ..ila ukimpa stage na mic.....hamna kitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

bora kaka yako juakali
Hahahaha, Juakali, yule yamaa hata kwa mbali unagundua kuwa ni Mkora, ila kina ile sheng alikuwa anaimba ilikuwa inanibamba... What happened to Kenyan Music aisee..
 
na bado kule juu soon tunamshusha wizkid kwani uzuri wa wasanii wakinigeria ni upepo wanapitaga tu.....
shida huyo jamaa wenu haezi kiingereza...ndio maana anasikika tu hapa EA...wale kina wizkid wapo level ingine bana...si level ya machokoraa toka Tandale
emoji23.png
emoji23.png
 
mmeshinda akina AKA na Casspr Nyovest??
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ndiyo maana hao wote hawatodumu.....niwakusample sana...hawapo Original ...

type ya hao wasanii wamezagaa kibao huku bongo na huwa hatuwapi nafasi kwani watakuwa hawana uwakilishi original.....

hata mimi ukinisimamisha na hao ndugu nawapiga knockout tena vibaya sana siku hizi watu wanataka ubunifu wenye uwezo ukiimba ama kurap kama wamarekani hautoboi milele utapotelea hapa hapa africa naumaskini
 
Please bring me any different source (without .co.ke) sources with .ke doesn't make any sense and they are untrustworthy (u know it nah?)
It's allover twitter and you can google if you wanna.
 
ndiyo maana hao wote hawatodumu.....niwakusample sana...hawapo Original ...

type ya hao wasanii wamezagaa kibao huku bongo na huwa hatuwapi nafasi kwani watakuwa hawana uwakilishi original.....

hata mimi ukinisimamisha na hao ndugu nawapiga knockout tena vibaya sana siku hizi watu wanataka ubunifu wenye uwezo ukiimba ama kurap kama wamarekani hautoboi milele utapotelea hapa hapa africa naumaskini
Diamond ndio original? we ndugu wacha jokes...if not for Nigeria music, SA music is on top..TZ music is on top in Video quality but not in content...
 
shida huyo jamaa wenu haezi kiingereza...ndio maana anasikika tu hapa EA...wale kina wizkid wapo level ingine bana...si level ya machokoraa toka Tandale.
kama kingereza kina play part kubwa katika talanta ya mtu,mbona wanamuziki wa kenya wanaojua kingereza hawajafika level ya juu aliyofika diamond na ally kiba(wasio jua kingereza).

prezzo na kingereza chake,kaishia wapi?.

nemless na kingereza chake,kaishia wapi?.

wahu na kingereza chake,kaishia wapi?

jua kali je?,nonini je?....na kadhalika.

tufafanulie kwanza hapo uki-base point zako katika kingereza.
 
haya mnaweza rap haswa kama Rick Ross??
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mbona rick ross yupo soft sana wewe.......hana ugumu wababe tunaowapa respect nakuwaogopa tena wapo original ni hawa

EMINEM SLIM SHADY
DR.DRE
PUSHA T
JAY Z
KENDRICK LAMAR
AKIM
LUPE FIASCO
NAS ESCOBA
KANYE WEST

nakuna raia wengine wanavuma kule kule ila ni balaaa kidogo nimewasahau ila waliobaki wote ni manyang'au tu hawana vitisho ni wakawaida sana
 
Back
Top Bottom