Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili halina Ubishi [emoji23]
 
Wanataka kujifanya hawajui maana ya battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The only difference between Kenya and Tz is that, we have data - you don't. I'm pretty sure it's worse in Tanzania especially considering your richest man is richer than our richest yet our average wealth is higher than your average.
The poorest of Kenya anakufa njaa wakati wa Tanzania analima mashamba
 

Kundustan watu wenye nafuu ya maisha ni wanasiasa, wahindi na wasomali,
In fact 90% ya biashara zote nairobi ni za wasomali,
 
Kundustan watu wenye nafuu ya maisha ni wanasiasa, wahindi na wasomali,
In fact 90% ya biashara zote nairobi ni za wasomali,
We umekua tu mchinga kama wengine hapa. Kwaivo hao wasomali si wakenya? Nani ndo mkenya haswa kwako kulingana na wewe?? Alafu hizo statistics zako kama huwezi kuziback rudi tu nazo huko chooni ulipozitoa
 
Kijinga kile Kibibi na ushungi. Nyerere alifunga border zote na Kenya kwa takriban miaka 10 naaa.

Kenya is an enemy state.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…