Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda ujinyonge,Kenya sio Tanzania nchi ya City moja na ka CBD kamoja, bladfwakin kabisa.., jikomboe kutoka hapakwanza kisha mjeπŸ‘‡πŸ‘‡, hadi rahaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





 
Siwezi tena ku battle na nyie wapumbavu, nchi yenu yote imejaa matakataka ni washenzi kweli kweli nyie.
Hii ndio ushenzi.., vumilia tu hapo ulipo, ni uchungu naelewa, ila utazoea na kunyooka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


CBD mpya eti.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
Kazi nzuri sana ya Rais Dk.Samia kuboresha sekta ya Afya.

Huduma kama hizi Kwa miaka yote iliyopita ulikuwa unaweza kuzipata Hospitali za Kanda pekee Kwa bei ghali sana..

Sasa zinapatikana Kila Hospital ya Mkoa Tanzania nzima πŸ‘‡
 
Ujinga ni laana nakuambia.., Dar ni Mombasa ndogo..., na uswazi ndio ukubwa wa jiji.., leta hiyo Upanga tufananishe tuone basi, hauoni hiyo distance?πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


Dar kama Dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…