Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pedestrian path yao ni kuruka hayo mawe pemben huku unayahesabu 🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-01-17-22-13-38.png
 
kaka tulia tayari kenya imeshaanza kujenga reli za stima kando na HIO sgr mnayo idharau..kazi imeanza tayari ...https://businesstoday.co.ke/jkia-cbd-railway-line-kenya-france/...https://www.railwaygazette.com/traction-and-rolling-stock/nairobi-dmu-deal-signed/55931.article#:~:text=KENYA%3A%20The%20much%2Ddelayed%20contract,Balearic%20island%20on%20March%202.View attachment 1499185
Hiv wakenya, hii kazi ya kujenga reli ya stima mlioianza mwaka 2020 bado haijaisha?
 
Hizo ni pillars zinataka kujengwa hapo. Hizo ni foundation tayari zimeshajengwa. Wewe una ringa kuwa una iphone latest basi mbona usizoom hio picha ili uweze kutazama jinsi hio foundation ilivyojengwa. BRT imeanza kujengwa hapa Kenya, lieni kabisa Watanzania. Lieni tu hakuna namna
Huyu 2020 alisema watanzania tulie kisa brt inajengwa kenya😁
 
Kituo ni kimoja tu ndio kilijengwa utasema corridor ya choo cha bar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna progress yoyote ni white elephant wanahangaika na BRT now ni over 4 yrs walijua BRT nikama kula githeri
View attachment 2485220
Hawa watu ni copy cats sana hupenda kuiga vitu vizuri lakini wanavitengeneza kujuakali sana.
 
Haijulikan gari la abiria ni lipi na la mzigo ni lipi zote zinafanya kazi sawa tu[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma sana .
 
Back
Top Bottom