Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheee, hii Dunia Ina wajinga sii kidogo.
 
Sasa kwann tujenge na havina maana? Footbridges ni kwa sehem ya mkusanyiko mkubwa wa watu na magari mengi yanapita hapo kwa kasi.. huko kwenu watu wanaangalia kupiga hela tu za burebure kwa kujenga [emoji208] projects

Wanataka tujenge viflyovers just for show off,
Hebu tuseme ukweli, kulikuwa na ulazima gani kujenga hii karvati hapa?
Yaani mradi tu waseme kisumu kuna flyover ?
Misplaced priorities plus miradi ya upigaji.
 
Afadhali huyo wetu alikuwa picha za potholes. Huyo wenu anazunguka na simu kupiga picha za magari zilizoegeshwa kwenye garages and call it poverty. Atafute picha za potholes kwenye barabara za lami Migori town akipata apost hapa tuone. That's a true representation of poverty, sio kupiga picha za magari kwenye garage. A poor person can't own a car
 
Wanataka tujenge viflyovers just for show off,
Hebu tuseme ukweli, kulikuwa na ulazima gani kujenga hii karvati hapa?
Yaani mradi tu waseme kisumu kuna flyover ?
Misplaced priorities plus miradi ya upigaji.
View attachment 2478392
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake
 
Nani alisema ngie hamuagizi magari kuukuu kama Watanzania kwakua nyie hela mnazo?Sasa unamchagulia Ichoboy silaha ya kuwajeruhi nayo?...
Mi sipendi vita ila mnapovianzisha hua kuna watu vita viko kwenye damu haya sasa amewafungua safari kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Iyo line yako kua poor people hawezi afford gari sio kweli, unaweza kua na gari na bado ukasota vilivyo
 
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake

Junctution, hahaha umeona hizo connecting roads zilivyo terrible?
Why not make a simple round about and the remaining funds improve the surrounding environments ukizingatia hakuna hata magari huko,
Plus hiyo road yenye hiyo curvet terminates in 150m then kinakoendelea hakujawa paved.
 
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake
Nyie ni watu wa kupendezesha macho tuu lakini ndani ni uozo mtupu. At first I thought hiyo ki flyover kimejengwa over mud road inabidi utumie nguvu ya ziada kujua kwamba kuna lami substandard hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…