Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dear Nicxie amini kwamba hii battle ya access roads huiwezi ndugu yangu mm nakwambia, hii nchi yetu imejengwa mzee, yani mitaa mingi iko na lami, mm mwenyewe nmeshaweka picha nyingi humu za uswahilini kwenye lami, ila kama mjeuri sawa twende kazi.
Shida iko wapi kutuwekea hizo picha za access roads hapa si wana google street view ama walikuwa wanatudanganya hapa?
 
Bila kusahau huo uchafu barabarani.
 
Mtaalamu wa kuchambua, vyote ulivyosema sikuviona ndio narudi kuàngalia tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…