Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchafu tupu huu.
Halafu wacha nikufundishe terminologies.
Hiyo picha uliyopost haina tarmacked access road hata moja na hata hiyo arterial road ni very poor quality.
View attachment 2473183
Eti mkenya anaita huu uchafu haya ngoja tulinganishe alafu wenyewe mtoe conclusion
tapatalk_1035698255_500x281.jpg
tapatalk_-1018275472_480x221.jpg
 
Sijui Access road , Estate Road na tunaonyeshwa kibarabara kina ukurutu. Yaani Kule Kiwalani, Buza, Mwananyamala, makumbusho wana barabara kali za mitaa na Zina taa kabisa. Ni nzuri kuliko anazoonyesha . Angalia kazi ya (DMDP)

Pia mfano mzuri Chukulia Eneo dogo la Oysterbay.

Tufanye Kenyatta na Toure Drive ni Trunk. Angalia hali ya barabara za Mitaa kama Laobon, Zambia road, msasani Road, Tumbawe street, Mkwawa, Bongoyo, Kajificheni, Karume, Hill road, Ghuba etc. ni kali na safi kuliko huo utopolo wao.

Majamaa wengi wa huku wakiongea kitu tu unajua kabisa ye ndio mara ya kwanza kukutana nacho . Na kwa jisni wanavyodhani jua linazunguka Kundustan Pekee

Wengine wanaropoka tu. Unakuta mtu anadai wao magari yao lililozeeka sana mwisho miaka mitano, Lakini kapost picha ina Magari yana miaka 40 . Vitu haviendani na wanavyonena. Utasemaje mpo level moja na Kigani kwenye usafi wakati kuna picha za zile kundustan estates hadi mbwa amesanda hiyo location.

Anyway Jioneee tofauti.

View attachment 2473769
View attachment 2473772
View attachment 2473773
View attachment 2473774
Unajua nilipoona jamaa wanajitapa na hicho kichochoro kidogo niwashe gari niinge mtaani nipige picha, yaani sisi vitu ambavyo vishakuwa kawaida hata hatustuki kumbe huko ni big deal, shukrani sana chief.
 
Sijui Access road , Estate Road na tunaonyeshwa kibarabara kina ukurutu. Yaani Kule Kiwalani, Buza, Mwananyamala, makumbusho wana barabara kali za mitaa na Zina taa kabisa. Ni nzuri kuliko anazoonyesha . Angalia kazi ya (DMDP)

Pia mfano mzuri Chukulia Eneo dogo la Oysterbay.

Tufanye Kenyatta na Toure Drive ni Trunk. Angalia hali ya barabara za Mitaa kama Laobon, Zambia road, msasani Road, Tumbawe street, Mkwawa, Bongoyo, Kajificheni, Karume, Hill road, Ghuba etc. ni kali na safi kuliko huo utopolo wao.

Majamaa wengi wa huku wakiongea kitu tu unajua kabisa ye ndio mara ya kwanza kukutana nacho . Na kwa jisni wanavyodhani jua linazunguka Kundustan Pekee

Wengine wanaropoka tu. Unakuta mtu anadai wao magari yao lililozeeka sana mwisho miaka mitano, Lakini kapost picha ina Magari yana miaka 40 . Vitu haviendani na wanavyonena. Utasemaje mpo level moja na Kigani kwenye usafi wakati kuna picha za zile kundustan estates hadi mbwa amesanda hiyo location.

Anyway Jioneee tofauti.

View attachment 2473769
View attachment 2473772
View attachment 2473773
View attachment 2473774
Barabara zote zina pedestrian path
 
Aisee, nilikuwa sijaona hii. Mm nilijua tu kwenye hili suala hawatuwezi kabisa na kama wanataka tuanze battle ya hizo access roads nawaambia haki ya mama hawatuwezi hata robo nina uhakika wa asilimia 200% na ndiyo maana hawaitaki hii battle ghafla wamehamia kwenye battle ya estate wamekimbia huku.
 
Nikisema access roads namaanisha hivi - yani barabara inayokupeleka kwako langoni. Hapo Dar vitu kama hizi hazipo - labda uende kwa hivyo vigated communioties vyao vyenye nyumba 70.

View attachment 2473266
Mkuu unajiaibisha sn na hizi roads unazoweka humu ukiita access roads, hapa Dar mzee tumechakaza kwa hizo roads na nmeweka sn humu wenzio wanajua.
 
Dar es salaam >>> Nairobi + Mombasa.
Sasa unataka nikuletee picha ya ufuo wa bahari kutoka Nairobi? You posted a picture of a beach area and said that itatuchukua miaka mingi kufika huko. Tumia akili sasa
 
Back
Top Bottom