Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na Mungu akiwawezesha mfanye na hivi.

FJ-Eel_XEAYBvKY
Toka nje ya hicho kijiji chenu ujue yanayoendelea outside of Dar boundaries
2021-03-17 (9).jpg
download (36).jpeg
download (52).jpeg
ENk59jPXsAIHOiK.jpeg
download (60).jpeg
FB_IMG_16714779470576475.jpg
ENkt40YU4AI8YJe.jpeg
download - 2022-12-31T004730.427.jpeg
images - 2022-07-09T151316.956.jpeg
download (32).jpeg
29791592714_e49fb44234_b.jpg
 
Wewe jamaa unaelimishwa lakini huelimiki. Siku zote mnaambiwa Tanzania hakuna slums, bali kuna unplanned settlements.
Slum is an overcrowded and squalid urban street or urban area.

Swali ni: Hizo unplanned settlements zenu are they not overcrowded? Are they not in squalid conditions
 
Sijui Access road , Estate Road na tunaonyeshwa kibarabara kina ukurutu. Yaani Kule Kiwalani, Buza, Mwananyamala, makumbusho wana barabara kali za mitaa na Zina taa kabisa. Ni nzuri kuliko anazoonyesha . Angalia kazi ya (DMDP)

Pia mfano mzuri Chukulia Eneo dogo la Oysterbay.

Tufanye Kenyatta na Toure Drive ni Trunk. Angalia hali ya barabara za Mitaa kama Laobon, Zambia road, msasani Road, Tumbawe street, Mkwawa, Bongoyo, Kajificheni, Karume, Hill road, Ghuba etc. ni kali na safi kuliko huo utopolo wao.

Majamaa wengi wa huku wakiongea kitu tu unajua kabisa ye ndio mara ya kwanza kukutana nacho . Na kwa jisni wanavyodhani jua linazunguka Kundustan Pekee

Wengine wanaropoka tu. Unakuta mtu anadai wao magari yao lililozeeka sana mwisho miaka mitano, Lakini kapost picha ina Magari yana miaka 40 . Vitu haviendani na wanavyonena. Utasemaje mpo level moja na Kigani kwenye usafi wakati kuna picha za zile kundustan estates hadi mbwa amesanda hiyo location.


Anyway Jioneee tofauti.

IMG_4412.jpg

IMG_4416.jpg

IMG_4414.jpg

IMG_4413.jpg
 
Back
Top Bottom