The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Kama LHR mwanangu 














































Hawa majirani zetu wanatutia aibu sana.
NAIROBI 2023
Dar is a slum skyline with no fireworks can not compete with global cities.Umekimbia Skyline View?
Umemaliza?Dar is a slum skyline with no fireworks can not compete with global cities.
Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
We had those train looks at Tazara in the 70s.
Fireworks zimepigwa sehemu nyingi sana Dar in NYE, sikutoka tu kupiga picha lakini maeneo yote affluent zimepigwa.Dar is a slum skyline with no fireworks can not compete with global cities.
Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
Watu wanaona mambo ya kurusha mafataki ni vitu vya kawaida tu. Kwenye Yanga Day, Simba Day yanapigwa.Fireworks zimepigwa sehemu nyingi sana Dar in NYE, sikutoka tu kupiga picha lakini maeneo yote affluent zimepigwa.
Yani maongez yako tu yanaonesha yana hasira na machozi ndani yake 🤣🤣 ikiwa waziri wa kenya ndio wanatumia prado vipi itakua popular kihivo na ikiwa probox na vitz na filder ndio zimejaa over 90%Prado is the most popular SUV in Kenya. Kama vile IST ni popular huko dar is a slum hivyo ndio Prado iko popular in Nairobi.
🤣🤣🤣🤣 ikiwa kutoka CBD kwenda westland na upperhill ni 3km each na bado katikati kuna mapori au na mapori kwenu ni magorofaGhorofa mingi hapo ni less than ten floors, hakuna cha kutushtua hapo. Tumezoea maghorofa Nairobi ziko kila pahali, from CBD to Suburbs.
Yani maongez yako tu yanaonesha yana hasira na machozi ndani yake 🤣🤣 ikiwa wazkri wa kenya ndio wanatumia prado vipi itakua popular kihivo na ikiwa probox na vitz na filder ndio zimejaa over 90%