Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyayo Estate hiyo. Gated community ya serikali. Another 3.52 sq. km

View attachment 2472798
Mzee tunataka picha hapa. Au huna picha?
Kama hii

Viwandani-4.png
 
Barabara za mchanga naziona.
Barabara za kudumu huwa zipo hivi
Viwandani-6.png
Nikija kwa barabara, mnaruka kwa gated community, nikianza gated community mnarudi kwa barabara. Mbona mko waoga hivi? Hapo Nyayo Estate kila barabara iko tarmarcked. Hii uliyopost ni artery road, nikiingia mtaani ni shida.🤣 🤣
 
What is this?

Nyayo Estate
Nairobi_South.jpg
Ndio estate zao wanazozitegemea, daily hzo hzo yn kabla hata hajasema kichwani najua ataweka nn, miaka nenda rudi hzo hzo estate nzee zenye bati nyekundu juu, watu tushaamia Dodoma wao bado wako na hzo hzo
 
Anakuja na google eti kutusahaurisha. Sisi tunataka atuletee picha na atuambie hapo ni wapi. DMDP inamaliza mchezo huu asubuhi sana.
Nakuambia hivi kaka dmdp imechakaza sn mitaani huko, mm nitamuua na roads za Yombo pekee alafu nakuja kumchinja na kiwalani, akiwezana mm naondoka jamiiforums leo leo, Kenya hii hii isiyo na roads ndiyo ishindane na Tz?
 
Back
Top Bottom