Midomo yao tu ndio mipana lkn hamna kitu hawa jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbingu na ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabadili wimbo tayari [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona mwengine ameingia ile gated community moja heheee. Labda hiyo pekee ndio mnaweza ringa na private roads ila barabara za umma ni zero. Hapa Nairobi zijaweka Gated Community hata moja na zipo nyingi kuliko hapo Dar.
Access roads ndio tunatakaMbona maneno mengi sana mzee.
Boss, Gated communities tunazo pia nyingi kushinda hizi na mbali ila mimi nimeuliza access roads. Ukitaka gated communities ndio hizi hapa ila hizo ni private roads sijapost.Highland Villas
![]()
![]()
![]()
Barabara ya zege anaita vumbi huyu mshamba[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtaa wao wa kifahari huu. Vumbi tupu [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2472737
Huyo mshamba anaziona access roads lkn? Tatizo wakundustan walijidanganya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sea Breez again
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ndiyo gated community?Boss, Gated communities tunazo pia nyingi kushinda hizi na mbali ila mimi nimeuliza access roads. Ukitaka gated communities ndio hizi hapa ila hizo ni private roads sijapost.![]()
![]()
eti ana post vyumba pekee 🙊jesus!! na wala sio skyline ama cityscapes..Heri hungepost.
Ukiwa unaongea vitu usisahauNaona wamekwepa access roads wameenda Gated communities. Hapo nikiingia bado nawachapa kichapo. 🤣 🤣 🤣