Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiongee sana bwana Mashashola
Tuletee barabara iliyonyoka kama hii toka Kenya

1673163443015.jpeg
 
Estate safi tulivu Dar es Salaam yote ndio hii hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣

20221124_135741-jpg.2439637


Na kila siku narudia, mna bahati huo mji wenu ovyo hauna Google streetview. Ningewaumbua hadi mchoke. 🤣🤣
Hata mimi pia husemanga hii kitu hapa. Dar kukosa Google Street View is a blessing in disguise to hawa vilaza. Ningekuwa nawalisha vidonge hapa kila siku. Washukuru sana Google
 
Staki ungomvi mimi na wewe. Ninachotaka tueleweshane tu. Hapo meweka mitaa haina hata barabara za maana ndugu yangu. Kwa heshima uliyonayo humu JF, ulichokiweka ni sawa na miji midogo sana hapa Tanzania mf: Katoro iliyopo Geita inaweza ikaizidi picha hii.
Sasa basi furahiya macho yako hapa Dar:

FVuP6eEWUAEnHSx
Hehehee, yani umechukua picha yenye angle fulani ambapo barabara hazionekani. You can't fool us. Hehee, yani zile kidogo zenye zimeonekana bado ni vumbi tupu. kwa ground vitu ni different.
Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
 
Hehehee, yani umechukua picha yenye angle fulani ambapo barabara hazionekani. You can't fool us. Hehee, yani zile kidogo zenye zimeonekana bado ni vumbi tupu. kwa ground vitu ni different.
View attachment 2472970
Asante. Twende Street by Street nioneshe. Na usikimbie. Tunaongelea Access roads. Najua umejiandaa sasa. Twende kaz.

1673165705980.png
 
Back
Top Bottom