Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Dhumuni la kuanzwishwa kwa NHC halikua uwekezaji wa nyumba ghali? Shirika lilianzishwa ili kujenga nyumba nafuu kwa wananchi wa kawaida.NHC ndio wawekeze kwa nguvu kwenye makazi.
Ukiacha maghorofa ya wahindi serikali iliyowanyang'anya, nyumba za kwanza kwanza walizozijenga ni pamoja na yale maghorofa ya Keko Bora kwa wananchi wa kawaida.
Hawa akina Kikwete na Kinana (Rizwani anatumwa tuu) wanayajua yote hayo kwasababu walikuwa vijana kipindi hicho. Ni ulimbukeni wao tuu wa pesa na kuiga iga mambo, wameibadilisha NHC kuwa yakitajiri. kama wanataka kuwa real estate developers, si waanzishe tuu kampuni zao binafsi? Kwa nini watumie mgongo wa serikali?



traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..