Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa fala sana hawa, ukiwaambia Dar ni kubwa mara 4 ya Nairobi wanakuambia hata newyork ni ndogo kwa Dar, ukiwaaonesha development ya 30km away from CBD wanaenda kukuletea County ya murang'a eti nayo ni Nairobi 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 huyo mvumilieni ndio zwazwa lao
 
Dar-is-a-slum year 2123
Expresswayc.jpg..1.jpg
 
Hili eneo kama wameshindwa kupaweka vizuri si bora apewe yule jamaa!

Eneo zuri sana hili angalia hii picha ilivyo bomba.
Mwenye mkoa yupo busy kutaka kuifunga Wavuvi kempu wakati kuna vingi vya maana vya kufanya.
“Maadili my foot”

View attachment 2472061

Tena ndio ameenda Kuharibu Lilipigwa dude la Kimaadili na madera ni Moto kuliko hata Vile vichupi vya Christmas ambalo ilikua ni tukio la Mara moja. Wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo havihitaji hiyo nguvu.
 
Tena ndio ameenda Kuharibu Lilipigwa dude la Kimaafili na madera ni Moto kuliko hata Vilr vichupi vya Christmas ambalo ilikua ni tukio la Mara moja. Wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo havihitaji hiyo nguvu.



Wateuliwa wengi sielewi kwanini hawapendi kuacha legacy nzuri.
 
Back
Top Bottom