Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1673004484790.png

1673004558939.png
 
Ushabiki zingine ni za kijinga sana. Mombasa na Zanzibar wapi na wapi!

Zanzibar
View attachment 2470783

Mombasa
View attachment 2470785
Naona unetafuta picha uliyopiga juuu then unalinganisha na picha iliyopigwa kwa ukaribu 🤣🤣 the only thing mombasa is ahead of Unguja ni bandari tu mzee kwasababu hata real estate, tourism na hotels Zanzibar ipo juu
 
wabongo wacheze na league yao kama ghana hivi.. kill only wht u can eat.. wacha sisi tucheze na southee

Tunaongelea project mzee. Au tunaongelea uzinduzi? Naona unapiga porojo tu

MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAPOROMOKO YA MTO RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 95​

Tunaongelea ujenzi, sii uzinduzi. Tumechoka kuzinduliwa huku miproject mikubwa na ujenzi hatuoni - akina Bagamoyo City, Kawe City, Kigamboni City n.k. Kama umeshindwa kuonesha ujenzi kubali umeshindwa mjadala uishe. 😂
 
Umeishiwa

Kiwanda cha Sukari Bagamoyo kuanza uzalishaji mwaka huu​

Back
Top Bottom