Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NHC want to increase their profit margin to finance even more projects. That’s why they build high profile housing like Morocco Square and Victoria Place - to attract wealthy buyers and investors.

I stated a while ago that we cannot rely on NHC completely to provide sufficient affordable housing for the people. Invite the private sector and give them tax credits to increase the supply of affordable housing! The government also needs to provide more financing for affordable housing projects.
clearly, you don't know anything about housing projects.

Get rid of some little embarrassments by staying away from issues you have little to no understanding.
 
Well, a reason tunasema miradi kama hii haipaswi kuwa ni kipaumbele kwa shirika la nyumba la Taifa,
Hao watu wenye uwezo wa kumudu hizi high end apartments? Wangapi wana hiyo disposable income at that high margin yaani katika watu elfu yupo hata mmoja ?
Kwa namna hii makazi holela yataendelea kuwa tatizo kwa miaka mingine 50, majority wataona wakajenge huko Mapinga ..
Pamoja na kuwa na target customers wa namna hii,
NHC inatakiwa kuwa proactive kujenga apartments za bei nafuu kwa walio wengi,
Hii miradi ina kila harufu ya ufisadi,
Sababu haimake sense kuanzisha mradi mpya ikiwa mingine imetelekezwa,
Pale kawe Kuna mapagale kibao yana 5+ years abandoned, morocc square as well,
Ni kitu gani kinawaganya wakimbilie mradi mpya ? Kwanini wasianze kufikiria namna ya kuboresha ile takataka inaitwa Manzese? Au Tandale sijui Bonde la mpunga?
NHC pekee hawana nguvu ya kubadilisha “takataka inaitwa Manzese.” Hatuna housing developers wa kutosha na pia hatuna incentives za kuwavutia kuwekeza nchini.

Huwezi kutegemea informality ipungue kama majority ya nyumba hazijengwi na makampuni na kusimamiwa na planning ya serikali. Kila mtu kujijengea atakavyo aka “Dream Houses” ndio kunasababisha informal settlements nchini kote.

Housing developers wakiachiwa jukumu la kujenga nyumba Kwa watanzania chini ya regulations za serikali, mitaa itapendeza. First, nyumba zitakuwa na high quality kwasababu ya regulations za serikali na zinafuata planning strategy in terms of size, floor count and height, and purpose. Pia mitaa itakuwa na sewerage systems, street lighting, parks and recreation na kadhalika. Kutakuwa na ajira definitive Maana hizi kampuni zitakuwa zinaajiri watanzania kujenga na pia baada ya nyumba kuwa tayari kuwekwa kwenye market, kutakuwa na ajira Kwa real estate brokers ambao wanasaidia watu wanaohitaji makazi kupata nyumba wanayoipenda. Na malipo ya hizi nyumba ni Kwa njia ya mortgage.

Then NHC watakuwa na responsibility ya kujenga affordable housing Kwa watu ambao hawawezi hata ku-qualify kupata mkopo wa kulipa mortgage. Au pia serikali inaweza kuweka policy inayo-dictate Housing developers wa-include Nyumba za bei ya chini Kwenye projects zao.
 
NHC pekee hawana nguvu ya kubadilisha “takataka inaitwa Manzese.” Hatuna housing developers wa kutosha na pia hatuna incentives za kuwavutia kuwekeza nchini.

Huwezi kutegemea informality ipungue kama majority ya nyumba hazijengwi na makampuni na kusimamiwa na planning ya serikali. Kila mtu kujijengea atakavyo aka “Dream Houses” ndio kunasababisha informal settlements nchini kote.

Housing developers wakiachiwa jukumu la kujenga nyumba Kwa watanzania chini ya regulations za serikali, mitaa itapendeza. Kutakuwa na sewerage systems, street lighting, parks and recreation na kadhalika. Kutakuwa na ajira definitive Maana hizi kampuni zitakuwa zinaajiri watanzania kujenga na pia baada ya nyumba kuwa tayari kuwekwa kwenye market, kutakuwa na ajira Kwa real estate brokers ambao wanasaidia watu wanaohitaji makazi kupata nyumba wanayoipenda. Na malipo ya hizi nyumba ni Kwa njia ya mortgage.

Then NHC watakuwa na responsibility ya kujenga affordable housing Kwa watu ambao hawawezi hata ku-qualify kupata mkopo wa kulipa mortgage. Au pia serikali inaweza kuweka policy inayo-dictate Housing developers wa-include Nyumba za bei ya chini Kwenye projects zao.

Wewe huna akili, na unachofikiria ni "copy and paste" unachokiona kwa Wazungu. China wangesubiri ujinga huo wangesubiri daima. Plus, acha kutumia neno "sisi". Sisi sio Wakenya wenzako, sisi ni Watanzania and you are not one of us.

Hatuna ""incentives" za kuwavutia wawekezaji" what are you talking about? hao sio wawekezaji ni wafanya biashara na wanataka super profits. China wana state owned companies kubwa mno na zakila aina kwenye kila sector.

china ilikuwa nchi maskini sana na nchi zote Africa except Tanzania hazikutaka kufanya chochote na nchi hiyo. Leo bandari zao 7 ndio busiest in the world.
FloqPFWWYAIOlhj

Africans wamekuwa indoctrinated na maendeleo ya shortcut, yaani hawafikiri zaidi ya kuita Wazungu kuchukua kila aina ya fursa ya kiuchumi hata makazi ya kuishi wao halafu washike kila kitu cha uchumi na kuwapangia na msipo afikiana wanaondoka na kufanya kama walivyofanya Bukina Faso juzi kwenye migodi. Huu ni Ukoloni mamboleo. HAKUNA SHORTCUT KWENYE MAENDELEO YA KWELI.

NHC ndio wawekeze kwa nguvu kwenye makazi.
 
just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.

nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!

here👇🏽 traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi🤔

Screenshot_20230105-203844_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-202505_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-205054_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-204836_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-202631_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-202900_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-203029_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-202750_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-203059_YouTube.jpg
Screenshot_20230105-202230_YouTube.jpg
 
just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.

nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!

here👇🏽 traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi🤔

View attachment 2469350View attachment 2469343View attachment 2469344View attachment 2469345View attachment 2469348View attachment 2469349

Kwahiyo unajivunia traffic jams?
Tanzania imewapita urbanization kwa tofauti ya 15% na bado haina traffic jams, miundombinu yetu ni bora zaidi yenu.
 
It is a “green building” because timber is a lower carbon material – It’s renewable and sustainable. So, using it for construction reduces the building’s carbon footprint as opposed to using materials like steel and concrete.
At the same time it leads to destruction of forests hence reduced carbon absorption from the atmosphere. Start marking buildings like that on a large scale and your country becomes a desert - unless you have a tiny population with extremely large forests like Canada.
 
Watz wenzangu hakuna jibu moja la matatizo yetu,Kama kuna kitu kinahitaji majibu mbadala lazima tuchuje na tuelewane,Kando na Ushabiki hili jukwaa ni darasa tosha humu tumejifunza mambo mengi sana

Sasa mtu anaposema tunahitaji housing developers ili tupange miji yetu ilo ni wazo zuri,kama implementation yake haiwezekani basi mamlaka ya mipango miji ikishaandaa plan ya namna miji yetu itajengwaje waisimamie kikamilifu ili kuepeusha ujenzi holela unaoendelea...

Inashangaza sana mtu anapotoa hoja yake anakua mpinzani,Na inakera zaidi unapobisha kila kitu ilmradi tu ushinde mjadala..

Kuna vitu vingine wala sio vya kubishana miji yetu imejengwa bila mipango na holo jambo ni bomu kubwa sana..Haijalishi ni nyumba ya hadhi gani lakini kama imejengwa kwenye squatter inapoteza thamani sana
 
just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.

nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!

here👇🏽 traffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi🤔

View attachment 2469350View attachment 2469343View attachment 2469344View attachment 2469345View attachment 2469348View attachment 2469349

Juzi niliwaambia panueni hako Kanairo, nyie kila kitu ni CBD, yaani an average Nairober ni LAZIMA aende CBD mara kadhaa kwa wiki ili maisha yaende, hapo achilia mbali other Kenyans aka Kundustans ambao LAZIMA waje NAIROBI kwa shughuli za kiserikali na kimaisha. Yaani hata ukitaka kununua malaya mpaka uende CBD😅😅

Sasa sisi tumeishatoka huko, CBD iko less congested sababu kuna business center kila sehemu, shughuli za kiserikali sasa zimeamia Dodoma na mnaona mnavyopata homa na New Dodoma, mikoa mikubwa yote inajitegemea kibiashara, kiuchumi, kichakula na kihuduma za jamii kama afya n.k. So acha kutuambia ujinga, mkitaka kujua namna miji inafunction njooni Bongo mjifunze, sisi huko tutakuja kujifunza namna nchi mzima imestuck sababu ya kuipimp Kanairo.
 
Matamshi ya mtu ambaye haijui Nairobi haya.
 
Ninauliza tena, hakuna projects mpya huko kenya?
Projects watoe wapi ikiwa projects zote ziliosalia ni za wachina by 100% 😆😆😆

Walikuja na fujo ya lamu port white elephant haya yakwapi? Hata kelele siku hzi zimepungua na bado mchina anasubiri pesa yake lamu port
Pain ya nn wakat wana GDP kubwa ya kwenye makaratasi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom