Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Does that change anything? Umenikumbusha vile huwa mnasema "hizo ni picha za 90s"😃Hii ni barabara mpya tuonyeshe ya zamani kidogo
Does that change anything? Umenikumbusha vile huwa mnasema "hizo ni picha za 90s"😃Hii ni barabara mpya tuonyeshe ya zamani kidogo
It's not a proper CBD street. Not a modern CBD.Hii comment haina umuhimu wowote maana hapo ni cbd, au tu ilmradi unajua kuandika?
Dadako alizichukua zote. Ukimuona muulizeMbolea umeacha kutembea nazo.
Usipende sana uongo
Ulitaka picha ya same place ama picha tu ya Estate roads? Kama ulitaka before and after basi ndio hiyo. barabara sasa ni safi though hata ilivyokua before ni bora kuliko the average estate road in Dar's high end neighborhoods.Usipende sana uongo
Anyway hiyo ni kazi safi hakuna shaka,wacha nasisi tutafute fedha tuboreshe mes zetuView attachment 2469021
www.thetimes.co.uk
Hii ni miradi ya kifisadi na sisi tulipinga sana miaka mingi huko skyscrapers.com
Hivi, ni Mtanzania gani atanunua apartment kwenye flat kwa bei ya Million Mia na hamsini na milioni mia na tisini??
Wakati kuna wakandarasi wa nyumba wengi tu wanaweza niporomoshea bonge la jumba kwa 50 million.
Kuna watu wana hela mkuu.. hio 180m kwa wengine ni kama sarafu ya shilingi mia tano tu na hawaoni hasara kununua hapo.. na vile hapo ni ufukweni, sharp tu zinanunuliwa fasta, hizo bei zina target markets zao..Yaani milioni 180 mtu unapata kiwanja 20*40m Goba, unajenga mjengo wa Kibabe a finishing kali, unanunua na ka E-Class ka milioni 30 na unaweka na Garden na chenji inabaki,
Labda hizi watanunua wageni, au diaspora.. sio mbongo naemjua mimi .
Kina watu wanachukua floor nzimaKuna watu wana hela mkuu.. hio 180m kwa wengine ni kama sarafu ya shilingi mia tano tu na hawaoni hasara kununua hapo.. na vile hapo ni ufukweni, sharp tu zinanunuliwa fasta, hizo bei zina target markets zao..
kuna plot moja iko karibu na ufukwen kunduni niliambiwa ni mil 300 na kuna mbongo kanunua
Cha kujifunza: Hii bongo usiseme hatuna hela, jisemee mwenyewe tu huna hela.
Wakindustan mpo? Arena ya Bil.200 kuanza kujengwa Dar mwaka huu

Green building made of timber? Perhaps they don't understand the meaning of green building.![]()
Zanzibar plans highest green building in the world
Zanzibar’s government plans the highest green building in the world, made out of timber.www.thetimes.co.uk
Waitoe wapi? Ukiwaomba mradi mpya watakuletea expressway ya mchina wataizungusha zungusha apooo mara waweke angle hii mara ile na kazi inakuwa imeishia hapo.Hivi kenya hakuna new project?
Mimi naona hawa wakenya wamekwama. Hawana kipya tena.Waitoe wapi? Ukiwaomba mradi mpya watakuletea expressway ya mchina wataizungusha zungusha apooo mara waweke angle hii mara ile na kazi inakuwa imeishia hapo.