Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Unaongea as if Tanzania is three times bigger than Kenya!Wakundustan na sisi tunalingana tu population,
Licha ya kuwa ni kanchi kadogo,
They are reproducing like rodents.
Unaongea as if Tanzania is three times bigger than Kenya!Wakundustan na sisi tunalingana tu population,
Licha ya kuwa ni kanchi kadogo,
They are reproducing like rodents.
Tanzania runs a devolved system of government long before you introduced one in Kenya so keep your observation to yourself.just imagine outside of Dar CBD ie.(Posta)... no other city in Tz has traffic jam.
nb:
in kenya we have devolved other functions to other cities.. not just the commercial and capital city, nairobi...
like u guyz, everythng.. Dar Dar Dar only!
heretraffic jams in kisumu, in the evening during rush hours..
also note 'matatu culture' in kisumu rivals tht of nairobi
View attachment 2469350View attachment 2469343View attachment 2469344View attachment 2469345View attachment 2469348View attachment 2469349
Kinyesi cha kwenye mifuko unategemea Cholera iondoke kirahisi tuu.21st century watu bado wanazungumzia cholera kaaaah uwaskie sasa wakijisifu
4.7M for Nairobi proper actually.Your towns including Nairobi are small by area, overcrowded,, high density of Kundustanians per area, vurugu tupu..
Sasa nairobi ni 1/3 ya Dar na mko karibu 4m hapo,
Plus the entire Kundustan is damn small with almost all towns zipo karibukaribu, yaani Kenya ni 1/2 ya Tz na bado almost half of Kunya is not inhabitable,, mmejaa sehem moja .
Miji yetu ni mikubwa kwa eneo, servisses are diversified ,
Iko Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) inafanya kazi hiyo kwa sasa kwa kujenga barabara na kuweka taa kwenye viunga vya jiji pamoja na kujenga masoko ya kisasa ila juhudi zaidi zinabidi ziongezwe ili kuleta ufanisi mkubwa kwenye mipango miji ikiwa ni pamoja na kurekebisha kifungu cha sheria katika umiliki wa Ardhi ili kuvutia wawekezaji wengi wa private.Tatizo liko kwenye usimamizi wa mipango iliyopo. Magufuli alishaanza kusawazisha mambo kwa kujenga barabara mpya na masoko ndani ndani huko uswahilini. Hata pale magomeni kota serikali yake ilishaanza kuboresha makaazi na hapo utaona tatizo lipo kwenye usimamizi tuu..
Zamani serikali ilikuwa ina simamia mipango miji yake. Ilihakikisha inapima viwanja na kujenga barabara za lami kabla ya kuwauzia wananchi maeneo hayo na ilikuwa ni lazima ujenge nyumba yako kwa utaratibu uliopangwa. Mfano ni nyumba za zamani za Mwenge kijijini, Magomeni, Ilala, sinza n.k. Usimamizi ulipokoma, ujenzi holela ukashamiri.
Ni ngumu kaka kwa hali hii 👇Kinyesi cha kwenye mifuko unategemea Cholera iondoke kirahisi tuu.
Andika kwa kiswahili. Kwani wewe ni mzungu?4.7M for Nairobi proper actually.
Are you an expert in urban planning? Obviously not - you don't even have enough knowledge. The global trend currently is towards high density cities with more green spaces. Urban planners are working towards high density cities. Seems it'll take quite a long time to just change the mentality down south.
Iko Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) inafanya kazi hiyo kwa sasa kwa kujenga barabara na kuweka taa kwenye viunga vya jiji pamoja na kujenga masoko ya kisasa ila juhudi zaidi zinabidi ziongezwe ili kuleta ufanisi mkubwa kwenye mipango miji ikiwa ni pamoja na kurekebisha kifungu cha sheria katika umiliki wa Ardhi ili kuvutia wawekezaji wengi wa private.
Unaongea as if Tanzania is three times bigger than Kenya!
Andika kwa kiswahili. Kwani wewe ni mzungu?



Wanavoongeaga sasa. "Zisi nashoni izi muvingi badile"Wakishavaaga yale makoti ya suti ya mtumba oversize uwakute wanazungukazunguka uhuru park basi wanajihisi wazungu fulani hivi toka nchi ya marehem malkia, na kingereza chao kibovu Chenye accent ya kikamba![]()
Wanavoongeaga sasa. "Zisi nashoni izi muvingi badile"



Wanapigana miti mpk kwenye recreational park unategemea nini hapo.Wakundustan na sisi tunalingana tu population,
Licha ya kuwa ni kanchi kadogo,
They are reproducing like rodents.
Sasa akiandika kwa kiswahili au kijaluo atakuongopeaje kwamba na yeye kasoma, wakundustan huwa wanadhani akiongea kizungu utamuona maisha yake mazuri au kasoma, ni wajinga mno, apo hakana chochote cha kuonesha ila kanaongea kingereza kakidhani kataonekana kastaarabu, vimekamatwa mno na ukoloni.Andika kwa kiswahili. Kwani wewe ni mzungu?
Wanapigana miti mpk kwenye recreational park unategemea nini hapo.
Wakishavaaga yale makoti ya suti ya mtumba oversize uwakute wanazungukazunguka uhuru park basi wanajihisi wazungu fulani hivi toka nchi ya marehem malkia, na kingereza chao kibovu Chenye accent ya kikamba![]()














Hawa wakundustan wanavuka 60mil me nakuambia, ni vile govt yao inaficha data ili waonekane wachache mwisho wa siku waonekane wana per Capita kubwa ili kuvutia mikopo.Ukitaka kujua nguvu ya maskini tongoza mke wake, yaani mke ndio mali pekee anayo then wewe unataka kumnyang’anya
This is what happens in Kundustan,
Kupigana miti Ndio starehe pekee waliyonayo, sababu ya ufukara,
Na matokeo yake Wanajikuta wanazaliana kama mbuzi.