The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Wewe ndio huelewiGreen building made of timber? Perhaps they don't understand the meaning of green building.
Wewe ndio huelewiGreen building made of timber? Perhaps they don't understand the meaning of green building.
Nikasirikie mtu sitawahi muona kwani mimi wazimu?😂Hasira hasara buda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna watu wana hela mkuu.. hio 180m kwa wengine ni kama sarafu ya shilingi mia tano tu na hawaoni hasara kununua hapo.. na vile hapo ni ufukweni, sharp tu zinanunuliwa fasta, hizo bei zina target markets zao..
kuna plot moja iko karibu na ufukwen kunduni niliambiwa ni mil 300 na kuna mbongo kanunua [emoji1]
Cha kujifunza: Hii bongo usiseme hatuna hela, jisemee mwenyewe tu huna hela.
DahWell, a reason tunasema miradi kama hii haipaswi kuwa ni kipaumbele kwa shirika la nyumba la Taifa,
Hao watu wenye uwezo wa kumudu hizi high end apartments? Wangapi wana hiyo disposable income at that high margin yaani katika watu elfu yupo hata mmoja ?
Kwa namna hii makazi holela yataendelea kuwa tatizo kwa miaka mingine 50, majority wataona wakajenge huko Mapinga ..
Pamoja na kuwa na target customers wa namna hii,
NHC inatakiwa kuwa proactive kujenga apartments za bei nafuu kwa walio wengi,
Hii miradi ina kila harufu ya ufisadi,
Sababu haimake sense kuanzisha mradi mpya ikiwa mingine imetelekezwa,
Pale kawe Kuna mapagale kibao yana 5+ years abandoned, morocc square as well,
Ni kitu gani kinawaganya wakimbilie mradi mpya ? Kwanini wasianze kufikiria namna ya kuboresha ile takataka inaitwa Manzese? Au Tandale sijui Bonde la mpunga?
Hakuna hela Kenya foreign investors wengi wameondoa hela zao kwenye soko la hisa na serikali iko kwenye mkwamo wa kifedha ndio maana KSh inadondoka kila siku.Mimi naona hawa wakenya wamekwama. Hawana kipya tena.
Hapo kati brt itapendeza sana
It is a “green building” because timber is a lower carbon material – It’s renewable and sustainable. So, using it for construction reduces the building’s carbon footprint as opposed to using materials like steel and concrete.Green building made of timber? Perhaps they don't understand the meaning of green building.
Speak for yourself.Yaani milioni 180 mtu unapata kiwanja 20*40m Goba, unajenga mjengo wa Kibabe a finishing kali, unanunua na ka E-Class ka milioni 30 na unaweka na Garden na chenji inabaki,
Labda hizi watanunua wageni, au diaspora.. sio mbongo naemjua mimi .
Kuna watu wana hela mkuu.. hio 180m kwa wengine ni kama sarafu ya shilingi mia tano tu na hawaoni hasara kununua hapo.. na vile hapo ni ufukweni, sharp tu zinanunuliwa fasta, hizo bei zina target markets zao..
kuna plot moja iko karibu na ufukwen kunduni niliambiwa ni mil 300 na kuna mbongo kanunua 😄
Cha kujifunza: Hii bongo usiseme hatuna hela, jisemee mwenyewe tu huna hela.
YAP!Well, a reason tunasema miradi kama hii haipaswi kuwa ni kipaumbele kwa shirika la nyumba la Taifa,
Hao watu wenye uwezo wa kumudu hizi high end apartments? Wangapi wana hiyo disposable income at that high margin yaani katika watu elfu yupo hata mmoja ?
Kwa namna hii makazi holela yataendelea kuwa tatizo kwa miaka mingine 50, majority wataona wakajenge huko Mapinga ..
Pamoja na kuwa na target customers wa namna hii,
NHC inatakiwa kuwa proactive kujenga apartments za bei nafuu kwa walio wengi,
Hii miradi ina kila harufu ya ufisadi,
Sababu haimake sense kuanzisha mradi mpya ikiwa mingine imetelekezwa,
Pale kawe Kuna mapagale kibao yana 5+ years abandoned, morocc square as well,
Ni kitu gani kinawaganya wakimbilie mradi mpya ? Kwanini wasianze kufikiria namna ya kuboresha ile takataka inaitwa Manzese? Au Tandale sijui Bonde la mpunga?
Just keep off Tanzanian affairs.Speak for yourself.
Speak for yourself.
Wapi hiiUkalii... View attachment 2469171
Nafkiri hii ni sgr station ya kilosaWapi hii
NHC want to increase their profit margin to finance even more projects. That’s why they build high profile housing like Morocco Square and Victoria Place - to attract wealthy buyers and investors.I am speaking on behalf of many . Haya ndiyo mawazo ya Walio wengi. Mtu anaona kwa hiyo pesa ambayo ameipata kwa jasho aitumie kwa namna hiyo, (value of Money)
I am humbly considering that NHC officials wamezaliwa na kulelewa kwenye familia za kawaida, atleast they can think and plan within the scope of the shoes of common mwananchi.