Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau fursa hizo

Hii ni miradi ya kifisadi na sisi tulipinga sana miaka mingi huko skyscrapers.com

Hivi, ni Mtanzania gani atanunua apartment kwenye flat kwa bei ya Million Mia na hamsini na milioni mia na tisini??

Wakati kuna wakandarasi wa nyumba wengi tu wanaweza niporomoshea bonge la jumba kwa 50 million.
 
Nairobi Estate roads

323422655_5764354287011553_500486721404813420_n.jpg
Hii ni barabara mpya tuonyeshe ya zamani kidogo
 
Inajumuisha ule wa dodoma ile Arena ya dodoma au hii ni budget ya Dar arena Peke yake , nimeona inajumuisha pia rehalibitation ya 7 football stadiums

Hata mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Hii ni pesa kwa miradi yote au ndio hiyo Areana ya mashabiki 16/20 elfu?
 
Back
Top Bottom